The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Uefa hata Aston vila anazo 2 aina maajabu pia, n' forest anayo.
Ni kombe ambalo hata mtu alieshindwa kuwa bingwa kwenye ligi yake anachukua kwaio halina maajab sana.
Kwangu mm
1)ligi
2)uefa
Uefa ni kombe la yoyote yule kwanza huchezi na timu zote.
Eti la yoyote. City na PSG wana mangapi na maimvestment yao yote?? Na bora umesema 'kwako'. Hakuna kombe ambalo ni most prestigious kwa level ya club kama UCL.
 
Eti la yoyote. City na PSG wana mangapi na maimvestment yao yote?? Na bora umesema 'kwako'. Hakuna kombe ambalo ni most prestigious kwa level ya club kama UCL.

Mkuu huyo jamaa anadai kwake yeye Futuhi ni bora kuliko UCL huoni hayo ni maajabu ya dunia?
Kesho hakawii akakwambia Cosafa ni bora kuliko World Cup
 
Uefa hata Aston vila anazo 2 aina maajabu pia, n' forest anayo.
Ni kombe ambalo hata mtu alieshindwa kuwa bingwa kwenye ligi yake anachukua kwaio halina maajab sana.
Kwangu mm
1)ligi
2)uefa
Uefa ni kombe la yoyote yule kwanza huchezi na timu zote.

Kwahiyo kwako wewe Futuhi ni bora kuliko UCL? Ama unaposema uefa unaongelea mashindano gani?
Kumbuka wewe ni bingwa wa ligi ya England
Liverpool ni bingwa wa mabingwa wa Europe nzima
 
Kwahiyo kwako wewe Futuhi ni bora kuliko UCL? Ama unaposema uefa unaongelea mashindano gani?
Kumbuka wewe ni bingwa wa ligi ya England
Liverpool ni bingwa wa mabingwa wa Europe nzima
Anakuwaje bingwa wa ulaya wakati hakucheza na bingwa wa italy,wala bingwa wa england,wala bingwa wa netherland,
Timu imeshindwa kuwa bingwa wa ligi yake itakuwaje bingwa wa ulaya huoni haiingii akilini?
Siungi mkono jitihada zao za kutaa uefa iwe ligi,ila uefa haimaanishi bingwa wa ulaya.
Kwa sababu kama ni hivyo hata io liverpool isingeingia kwa sababu sio champion kwenye ligi yake ni timu zilizoingizwa kujazilizia ili mfumo wa uefa uende sawa.
Kwaio timu kama liverpool kuchukua uefa huwezi kuiita bingwa wa ulaya.
Labda useme timu iliyochukua ligi yake pamoja na uefa ni haki yako kuiita bingwa wa ulaya.

Ila kama wataibadilisha uefa na ikutanishe mabingwa wa ligi tu kama ni nane au ngap alafu mshindi apatikane kwa points hapo utampata bingwa wa ulaya.
Na hapo huwezi kumuona liverpool.
 
Ha ha ha
Are you serious?
Pole sana
Uelewa wako wa soka umenishangaza sana na sitaendelea kubishana na wewe
Unahitaji elimu
 
Pale kati wakawekwa Fernandinho-Rodri-DeBruyne

Mbele wakawekwa Sterling-Gabriel-Sane

Hio shughuli kwa Clubs za EPL watatamani Guardiola afe
 
Pale kati wakawekwa Fernandinho-Rodri-DeBruyne

Mbele wakawekwa Sterling-Gabriel-Sane

Hio shughuli kwa Clubs za EPL watatamani Guardiola afe
Rodri ni mbadala wa fenandinho.
Pata picha pale yupo bernado,de bruyne,namba sita rodri.
Mbele weka sterling ,sane, aguero/jesus.
 
Kumpata Cancelo labda mmwage Pesa ndefu sana kinyume na hivyo hamumpati
 
Rodri ni mbadala wa fenandinho.
Pata picha pale yupo bernado,de bruyne,namba sita rodri.
Mbele weka sterling ,sane, aguero/jesus.

Fernandinho weakness yake akiwekwa kwenye non-holding midfield ni finishing tu
 
Kumpata Cancelo labda mmwage Pesa ndefu sana kinyume na hivyo hamumpati
Apana mkuu city wametoa tamko kwamba kama watapata mteja wa danilo watamchukua cancelo ishu ni kwmba idadi ya wachezaji wakigeni ni imeshatimia, haingii mwingine mpaka atoke.
Kwaio wanasubiri ofa kwa danilo ikishindikana hawatamchukua cancelo.
 
Danilo bei yake ni ngapi na timu zinazotajwa kumtaka ni zipi?

Halafu Cancelo atawalazimisha rotation sababu pale Juve alikuwa hasugui benchi, hawezi kukubali kuja kukaa benchi hapo ilihali pale Juventus huwa anaanza
 
Mpaka sasa hakuna tetesi za danilo kuondoka,pia cancelo hana mtu wa kumnyima namba pale city.
Walker ndio uzaifu wq city mipira mingi inapotea kwake, pia cross zake nyingi hazifiki.
Kwaio cancelo ni upgrade ya walker hususan kwenye kushambulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…