The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kweli kwa wolves hilo nikombe muhimu duu!
Nimeshangaa nilipokutana na hii.
 
Katika timu ambazo watawazibia riziki ni Man U

nilicheki gemu zenu vs Manchester United zote mbili ingawa mlishinda zote gemu ya ushindi bila bughudha ilikuwa ile ya 3-1 Etihad stadium

Ila hii ya Old Traford walikuwa tishio sana na naamini ni ile kutopenda Liverpool achukue ubingwa, walikuwa tishio threat dakika zote licha ya kuwadominate

Mechi hii ya Manchester derby jasho litashuka haki
 
Sure derby is always tough.
Ila watataka kupambana wasifungwe misimu miwili mfululizo na wahasimu
 
Nilikuwa nachek pre season spurs na juve unaweza kusema ni nusu fainali uefa
 
BM PRESIDENT; We offers David alaba + €50m for sane.

CITY; Sorry we don't accept any offer for sane.
 
This boy is getting serious now for his carrier. Naona ameacha ujinga wa mitandaoni.
 
Manchester City still have no interest in selling Leroy Sane to Bayern Munich. City sources have stated there have been no talks between the two clubs and that no bids have been received for the Germany winger. [@SkySportsNews]
 
Sane anapiganiwa kwa nguvu zote aende Bayern Munich

Wanataka akazibe nafasi ya Arjen Robben. Nafasi ya Ribery imeshazibwa na Gnabry.

Jana kama sio juzi kocha wa Bavarians ameongea kwa kusisitiza tena kwa mara nyingine kuwa Bayern watafanya kila wanaloweza Sane atue Allianz Arena
 
Awa jama biashara zao ndivy walivyozoea.
Wamezoea kuwapokonya wachezaji tim za bundasiliga kwanamna hii,wanatia presha alafu kabla hawajatoa ofa unakuta mchezaji kashajichanganya na kakubali.
Sasa sane amekuw kimya wakati mrefu na hajawajibu kitu chchote,wala hajasema kitu chochote..

Mm nachojua huruhusiwi kuzungumza na mchezaji kuhusu uhamisho wakati bado anakataba,unatakiw uombe izini kama spurs walivyofanya kwa dybala.
Ila hawa hawajaongea na sane wala club wao wanajiongelesha wenyewe
 
Kitakachowasononesha city ni kwamba Sane kule Ujerumani ndio kwao sasa timu kubwa ya kwao ambayo ni timu tajiri kuliko city inataka aende

 
And they can't pay €120m for a talented winger. Wanalalamika ni ghari mno pesa waliotajiwa na city hawawezi kuilipa.
They are rich in German and under FFP rather than that they're nothing.

Bayern kwasasa nitimu ya kawaida tu kama spurs.
Na sane angekuwa anawakubali kwakuwa wanahela angeshatamka anataka kwenda bayern.
Amepewa ofa na city ya £200k per week bado bonus wakati bayern mchezaji anaelipwa pesa nyingi ni lewandoski €225k kwa wiki.

Kwa sasa bayern is no where near city.
Mchezaji anaekaa benchi anasamani juu ya £100m just imagine

Kitakachowasononesha city ni kwamba Sane kule Ujerumani ndio kwao sasa timu kubwa ya kwao ambayo ni timu tajiri kuliko city inataka aende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…