Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika timu ambazo watawazibia riziki ni Man UTuna
Westham. A
Spurs. H
Bo'mouth. A
Brighton. H
Norwich. A
Msimu uliopita walitusumbua sana away tulitoka 1:1
Home 3:1
Ila walipata ya red card etihad
Walisumbua sana kukubali kupaki basi ila mechi ya juzi nimeshangaa wameingia kwenye mfumo game nzima.
Sure derby is always tough.Katika timu ambazo watawazibia riziki ni Man U
nilicheki gemu zenu vs Manchester United zote mbili ingawa mlishinda zote gemu ya ushindi bila bughudha ilikuwa ile ya 3-1 Etihad stadium
Ila hii ya Old Traford walikuwa tishio sana na naamini ni ile kutopenda Liverpool achukue ubingwa, walikuwa tishio threat dakika zote licha ya kuwadominate
Mechi hii ya Manchester derby jasho litashuka haki
Kweli huoni aibu!!msimu huu nyinyi mbu hampati kitu
wewe je utapata nini?msimu huu nyinyi mbu hampati kitu
nasajili makaliowewe je utapata nini?
basi kamuwahi bimkubwa wako umfanyie usajilinasajili makalio
Sipendi kupigwa banbasi kamuwahi bimkubwa wako umfanyie usajili
Awa jama biashara zao ndivy walivyozoea.Sane anapiganiwa kwa nguvu zote aende Bayern Munich
Wanataka akazibe nafasi ya Arjen Robben. Nafasi ya Ribery imeshazibwa na Gnabry.
Jana kama sio juzi kocha wa Bavarians ameongea kwa kusisitiza tena kwa mara nyingine kuwa Bayern watafanya kila wanaloweza Sane atue Allianz Arena
Awa jama biashara zao ndivy walivyozoea.
Wamezoea kuwapokonya wachezaji tim za bundasiliga kwanamna hii,wanatia presha alafu kabla hawajatoa ofa unakuta mchezaji kashajichanganya na kakubali.
Sasa sane amekuw kimya wakati mrefu na hajawajibu kitu chchote,wala hajasema kitu chochote..
Mm nachojua huruhusiwi kuzungumza na mchezaji kuhusu uhamisho wakati bado anakataba,unatakiw uombe izini kama spurs walivyofanya kwa dybala.
Ila hawa hawajaongea na sane wala club wao wanajiongelesha wenyewe
Kitakachowasononesha city ni kwamba Sane kule Ujerumani ndio kwao sasa timu kubwa ya kwao ambayo ni timu tajiri kuliko city inataka aende