The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kitakachowasononesha city ni kwamba Sane kule Ujerumani ndio kwao sasa timu kubwa ya kwao ambayo ni timu tajiri kuliko city inataka aende
Sane ni mchezaji mzuri sana.
Ila mwisho wa wote...
Akibaki uwezekano wa city kuchukua mataji upo.
Na akiondoka uwezekano wa city kuchukua mataji upo palepale.
Kazi ni kwake kuchagua,
 
Kama atapewa £200,000 per week anastahili kabisa. Yaani pale Ettihad wachezaji karibia wote wanastahili £200k isipokuwa Walker, Gundogan na dogo Zinchenko na wasugua benchi
 
Sane ni mchezaji mzuri sana.
Ila mwisho wa wote...
Akibaki uwezekano wa city kuchukua mataji upo.
Na akiondoka uwezekano wa city kuchukua mataji upo palepale.
Kazi ni kwake kuchagua,
Ila kama sijaelewa

Hivi kweli Bayern wameshindwa kutoa €120 million kumchukua Sane?
 
Kama watasajili sane kwaio pesa this transfer watakuwa wametumia €200m kasoro.
Walimchukua hernandez wa atletico kwa €65m tayari.

But a big German club can't pay €120m for a talented winger ili, kureplace legend wao.

Sasa timu nzima inazungumzia kutaka sane aje,ni kitu walichoambiwa wote ili sane avurugike.
Juzi anashida hawezi hata kushangilia

Mama vs mke, ila yeye ndie muamuzi wa mwisho wa carrier yake.


Ila kama sijaelewa

Hivi kweli Bayern wameshindwa kutoa €120 million kumchukua Sane?
 
Gabby anakula £50k wanatakakumuongezea mkataba pia.

Sane Akienda bayern hatapata zaidi ya €150k probably.

Ila ataenda kwa sababu ya shinikizo la wazazi tu, Kama atakubali.

Tatizo lingine mfumo wa city sio wakuuza wachezaji wao bora.
Na city wasipomuuza mwaka huu, na mwakani sane akasema anataka kuondoka basi thamani yake itashuka tu.
Aya kama felix ameuzwa kwa €120m sane ambae ameshaprove utamnunua kwa shingap?

Gundogan nae pia hajasain mkataba mpya ila city wamesema hataondoka mpaka utakapoisha mkataba hata akienda free hakutakuwa na hasara.

Walker ndo mpoteza mipira mara zote.
Cross na pass zake hazina uhakika sana. Analindwa na speed.

Kwaio sane,gundogan na Guadiola ndo wamegoma ku sign mkataba mpya.

Ila Guadiola akiondoka mbadala wake mzuri ni Eric Ten harg kwangu mm.

Alafu mm nachoona ukitaka kujenga matabaka kwenye timu basi weka tofauti kubwa ya mishahara kama utd wanachofanya .







Kama atapewa £200,000 per week anastahili kabisa. Yaani pale Ettihad wachezaji karibia wote wanastahili £200k isipokuwa Walker, Gundogan na dogo Zinchenko na wasugua benchi
 
Pep kumbe amegoma kusign

Anaitaka PSG nini maana ndio timu tajiri pekee iliobaki kwake
 
No

Magap yanakuwepo kwa ajili ya watu wenye vipaji vikubwa sana. Mfano nadhani hata wachezaji wenyewe mfano pale Barça wanajua haiwezekani wale mshahara at par na Messi

So magap yanakuwepo ila ya kiakili, kwa mfano DeBruyne unampa £300k halafu Sane, Sterling, Bernado, Jesus, Aguero, Rodri unawapa £250k

Beki huku mwenye kiwango kikubwa sana unampa £200k halafu the rest chini ya hapo
 
Pep kumbe amegoma kusign

Anaitaka PSG nini maana ndio timu tajiri pekee iliobaki kwake
You don't sell your best player to youre rival.
Hahaha
City wangesema tu sane yupo sokonj wamuuze ata madrid uko.
Tatiz mbadala wake ni nani utakaempataa kirahisi.
Vp sterling akiwa majeruhi.
Sane tu ndo anaipatia left wing.

Sane>mahrez left wing
Mahrez>sane right wing
 
Sure.
Ila kwa case zingine gap la messi na wenzake ni kubwa kubwa mno,anaweza kuwalipa ata beki wote wa barca kwa wiki.

£1.2m per week ilikuwa sijui ngap ss iv.

Labda ndo mana kuna kauoga fulan kwa wenzake akiwa nao.

Ila kweli magap hayawezi kukosekana.
 
Kama atapewa £200,000 per week anastahili kabisa. Yaani pale Ettihad wachezaji karibia wote wanastahili £200k isipokuwa Walker, Gundogan na dogo Zinchenko na wasugua benchi
wewe hauko serious Gundogani unamchukuliaje?
 
Statistics: Yokohama F. Marinos 1-3 Manchester City Attempts: 11 | 13 Shots On Target: 5 | 8 Possession: 58% | 42% Passes: 532 | 455 Pass Accuracy: 88% | 86% Corners: 5 | 5 Fouls: 11 | 8
 
Pep Guardiola on YFMMCI: "I don't have doubts. This team will be ready. I know them better so now I don't have doubts about what they can do. We made mistakes (today), but that’s good, we are going to solve them."

"Kevin (De Bruyne) made another great game. It’s important because he has a special quality; the vision to make a last pass. Rodri was incredible the way he played. We have an incredible holding midfielder for the years he is here."

Pep Guardiola on PhilFoden: "He has trained two sessions, no more. One month off and two sessions. I know his level, his quality, his vision, his commitment defensively. In two games, I didn't expect him to get minutes but he took them, which is good..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…