OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mkuu mimi nimetoa maoni yangu tu.Ila Chelsea itakuwa bora sana...
Eti ndugu..?
Sijayakataa maoni yako mkuu...Mkuu mimi nimetoa maoni yangu tu.
Chelsea kwa sasa tutajaribu tuone kama tutaleta upinzani.
hakuna wa kumzuia pep England tukutane Kesho umuone klop anavyofanywa.Mkuu mimi nimetoa maoni yangu tu.
Chelsea kwa sasa tutajaribu tuone kama tutaleta upinzani.
Sterling hana uwezo wa kumuweka benchi SaneAnanyimwa namba au kuna watu wamemzidi uwezo..?
Kama anataka kuondoka aende tu,coz hata msimu huu uhakika wa namba hana...
Hata mimi ningekuwa ni yeye ningeenda zangu Bayern Munich...
Man City ina kikosi kipana vibaya sana..!
Spurs hapanaKaribia kila timu ina improve kikosi chake.
Ila kwa usajili mpya wa city kutoka injury fc sijui msimu huu utakuwaje uo moto wake.
Sasa hawa liverpool baada ya kukiboresha kikosi chao msim uliopita nakushika nafasi ya pili,wamerizika.
Na historia inasemaga mara nyingi timu iki perform vzr msimu mmoja,inakuwa kazi kumaintain standard na msimu unaofatia,kama city msimu uliopita wameshuka standard.
Kuna hatihati msimu huu liverpool akashindwa kucheza kwa ubora ule na spurs akachallenge.
Spurs is the biggest threat
Mkuu kesho tutachomoka kwa hawa up coming giant kweli?? Mimi kwa maoni yangu Liverpool ikichezea goli chache sana ni tatu.Sterling hana uwezo wa kumuweka benchi Sane
Sane ni talented kuliko Sterling ila uzawa tu wa Sterling ndio unambeba maana Waingereza tunawajua
Aliekuwa wa kutokea benchi ni Sterling sio Sane
mapema kesho tutaona muelekeo wa Liverpool kweny msimu huu ..hii Man city naona kama wako kimya sana na vile kila kikombe huwa wanabebaga hawana cha kupoteza, kesho wale wakipigwa watasingizia ni kombe la mbuzi hahaha..hakuna wa kumzuia pep England tukutane Kesho umuone klop anavyofanywa.
Mi sijui itakuajeMkuu kesho tutachomoka kwa hawa up coming giant kweli?? Mimi kwa maoni yangu Liverpool ikichezea goli chache sana ni tatu.
Haya..!Sterling hana uwezo wa kumuweka benchi Sane
Sane ni talented kuliko Sterling ila uzawa tu wa Sterling ndio unambeba maana Waingereza tunawajua
Aliekuwa wa kutokea benchi ni Sterling sio Sane
Makosa ya spurs yalianza january mpaka mwisho wa msimu.Spurs hapana
Spurs pale top Six ndio kibonde wa wote hadi Arsenal
Sema poor form ya timu kubwa mwishoni mwa league ndio huwa inamleta Top Four
Arsenal na Man Utd wangemaliza ligi na form nzuri Spurs angekuwa Europa
Arsenal kamalizia mechi tatu za mwisho mwisho kwa kupokea vipigo vya tatu tatu tena in a row
Challenger kama Liverpool watakuwa vibaya kwa kweli sipati jibu atakuwa nani ila most likely Man Utd maana wale yakiwanyookea huwa wanapiga timu kubwa kama hawana akili nzuri refer ule msimu Guardiola anachukua EPL ya kwanza
Yeah upo sahihi.Sterling hana uwezo wa kumuweka benchi Sane
Sane ni talented kuliko Sterling ila uzawa tu wa Sterling ndio unambeba maana Waingereza tunawajua
Aliekuwa wa kutokea benchi ni Sterling sio Sane
Your case is different and so shall beHawa liverpool inatakiwa tuwapige goli 5-0 ili wafunge mdomo kabisa
Wanaongea sana
Huyu jamaa ni atar sana kwa passiMuda wa kuburudika na mipasi ya De Bruyne...