The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu mimi nimetoa maoni yangu tu.

Chelsea kwa sasa tutajaribu tuone kama tutaleta upinzani.
Sijayakataa maoni yako mkuu...
Nilitaka kujua kama Man City pamoja na kikosi chake kipana itakuwa normal,basi ni timu gani kwako itakuwa bora msimu huu..!
Chelsea au timu gani..?
 
Ananyimwa namba au kuna watu wamemzidi uwezo..?
Kama anataka kuondoka aende tu,coz hata msimu huu uhakika wa namba hana...
Hata mimi ningekuwa ni yeye ningeenda zangu Bayern Munich...
Man City ina kikosi kipana vibaya sana..!
Sterling hana uwezo wa kumuweka benchi Sane

Sane ni talented kuliko Sterling ila uzawa tu wa Sterling ndio unambeba maana Waingereza tunawajua

Aliekuwa wa kutokea benchi ni Sterling sio Sane
 
Karibia kila timu ina improve kikosi chake.
Ila kwa usajili mpya wa city kutoka injury fc sijui msimu huu utakuwaje uo moto wake.
Sasa hawa liverpool baada ya kukiboresha kikosi chao msim uliopita nakushika nafasi ya pili,wamerizika.
Na historia inasemaga mara nyingi timu iki perform vzr msimu mmoja,inakuwa kazi kumaintain standard na msimu unaofatia,kama city msimu uliopita wameshuka standard.

Kuna hatihati msimu huu liverpool akashindwa kucheza kwa ubora ule na spurs akachallenge.

Spurs is the biggest threat
Spurs hapana

Spurs pale top Six ndio kibonde wa wote hadi Arsenal

Sema poor form ya timu kubwa mwishoni mwa league ndio huwa inamleta Top Four

Arsenal na Man Utd wangemaliza ligi na form nzuri Spurs angekuwa Europa

Arsenal kamalizia mechi tatu za mwisho mwisho kwa kupokea vipigo vya tatu tatu tena in a row

Challenger kama Liverpool watakuwa vibaya kwa kweli sipati jibu atakuwa nani ila most likely Man Utd maana wale yakiwanyookea huwa wanapiga timu kubwa kama hawana akili nzuri refer ule msimu Guardiola anachukua EPL ya kwanza
 
Sterling hana uwezo wa kumuweka benchi Sane

Sane ni talented kuliko Sterling ila uzawa tu wa Sterling ndio unambeba maana Waingereza tunawajua

Aliekuwa wa kutokea benchi ni Sterling sio Sane
Mkuu kesho tutachomoka kwa hawa up coming giant kweli?? Mimi kwa maoni yangu Liverpool ikichezea goli chache sana ni tatu.
 
hakuna wa kumzuia pep England tukutane Kesho umuone klop anavyofanywa.
mapema kesho tutaona muelekeo wa Liverpool kweny msimu huu ..hii Man city naona kama wako kimya sana na vile kila kikombe huwa wanabebaga hawana cha kupoteza, kesho wale wakipigwa watasingizia ni kombe la mbuzi hahaha..

Come on Liverpool[emoji123][emoji123][emoji123]

Kila la kheri Man city.
 
Spurs hapana

Spurs pale top Six ndio kibonde wa wote hadi Arsenal

Sema poor form ya timu kubwa mwishoni mwa league ndio huwa inamleta Top Four

Arsenal na Man Utd wangemaliza ligi na form nzuri Spurs angekuwa Europa

Arsenal kamalizia mechi tatu za mwisho mwisho kwa kupokea vipigo vya tatu tatu tena in a row

Challenger kama Liverpool watakuwa vibaya kwa kweli sipati jibu atakuwa nani ila most likely Man Utd maana wale yakiwanyookea huwa wanapiga timu kubwa kama hawana akili nzuri refer ule msimu Guardiola anachukua EPL ya kwanza
Makosa ya spurs yalianza january mpaka mwisho wa msimu.
Poch kama ataona umuhim wa kushinda big match tu spurs watasumbua sana.
 
Sterling hana uwezo wa kumuweka benchi Sane

Sane ni talented kuliko Sterling ila uzawa tu wa Sterling ndio unambeba maana Waingereza tunawajua

Aliekuwa wa kutokea benchi ni Sterling sio Sane
Yeah upo sahihi.
Sane ana kipaji kidogo kumzidi sterling,ila sterling ametulia vzr sana kwasasa.
Na sane pengine anaofia ya coutinho.
Akibaki city atakuzwa akomaezaidi.
 
Back
Top Bottom