Man Utd ndio Club inayoongoza kwa kuuza jezi duniani ,yaani hata Real Madrid hafui dafu kwa ManUtd and that translates to Man Utd ndio watakaoongoza mapato ya matangazo, sponsor wengi etcUtd wanakaribia kutumia 1b£ tangu aondoke Sir. AF
Ila ingekuwa city tungesikia kelele za FFP rules
Sababu nyie income yenu haiendani na expenses. Hamjiendeshi kwa pesa mnazotengeneza bali za sheikh. Man utd jezi tu zinawaingizia kipato maradufuUtd wanakaribia kutumia 1b£ tangu aondoke Sir. AF
Ila ingekuwa city tungesikia kelele za FFP rules
Amka toka usingizini mzee.Aya ni maneno ya mkosaji, mshind keshajulikana ..tarehe 15 utaongea hivi hivi.
Football is business.Man Utd ndio Club inayoongoza kwa kuuza jezi duniani ,yaani hata Real Madrid hafui dafu kwa ManUtd and that translates to Man Utd ndio watakaoongoza mapato ya matangazo, sponsor wengi etc
Hata Rais wa Barca alikiri kuwa hawana muscles za kupambana na Man Utd kwenye market ya wachezaji ingawa Barca mwaka huu kama sio mwaka jana alimpita kimapato Manchester United
Nakubali ila huo ni upuuzi wa FFP.Sababu nyie income yenu haiendani na expenses. Hamjiendeshi kwa pesa mnazotengeneza bali za sheikh. Man utd jezi tu zinawaingizia kipato maradufu
ukawaida wake unataka kuilinganisha na nani?Ninyi munapaswa kufungiwa Uefa maana mumecheza rafu nyingi sana kwenye usajili. Na Pep alipoangalia anaeza asicheze final hata moja Uefa. Kwa sasa City itaenda kuwa timu ya kawaida sana.!
Fernandinho ni warriorUEFA tunaenda hivi
Ederson
Cancelo fernandinho Laporte. Mendy
B.silva. Rodri. KDB
mahrez Aguero sterling
Nakubali ila huo ni upuuzi wa FFP.
Ndomana vilabu vinafanya matumizi makubwa na wanaficha taarifa muhimu ushahidi unakosekana.
City wachezaji wanakula pesa nyingi sana kuliko za kwenye makaratasi.
Salaru + bonus.
Na FFP zinashadadiwa sana na barca pamoja na bayern
Wamiliki wote wana pesa ila mmiliki wa city anapenda sana michezo.Dah Mmiliki wa City ana hela sana
Naona unamuwaza liverpool tu. Hamna timu zingine?This season City tutakuwa vizuri zaidi ya msimu ulopita na nachokiona kuku wanaweza maliza ligi wakiwa wa 4 ama 5 kabisa wakati huo the citizen tukiongoza ligi.