Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
Man Utd ndio Club inayoongoza kwa kuuza jezi duniani ,yaani hata Real Madrid hafui dafu kwa ManUtd and that translates to Man Utd ndio watakaoongoza mapato ya matangazo, sponsor wengi etcUtd wanakaribia kutumia 1b£ tangu aondoke Sir. AF
Ila ingekuwa city tungesikia kelele za FFP rules
Hata Rais wa Barca alikiri kuwa hawana muscles za kupambana na Man Utd kwenye market ya wachezaji ingawa Barca mwaka huu kama sio mwaka jana alimpita kimapato Manchester United