interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Pep aliikuta Man City imetoka kushiriki nusu fainali UEFA bila De Brune,Man City bila De Bruyne ni kikundi cha wazururaji uwanjani...
Na siku hizi De Bruyne mwenyewe ana pancha mwili mzima,akiguswa tu majeruhi..!
Ubao wa matokeo unaonyeshaje...???Hahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahhaahhahahahahahahahahahahahahahahahahhaahhahahahahahahahahahahahaaha.
Daaahh .... Maisha sio fair wanangu
Hahaha usidhani watapata mbeleko la VAR kama ninyi mlivyopata pale darajani ...hawa mbuzi sisi tutawala tena wakina wabichi kabisaa...Ila sio kama chelsea .... Sijui watawapiga ngapi maskin [emoji28]
De Bruyne alikuwepo kwenye kikosi cha kwanza cha Man City iliyofika nusu fainali ya kombe la UEFA..Pep aliikuta Man City imetoka kushiriki nusu fainali UEFA bila De Brune,
De Bruyne alikuwepo kwenye kikosi cha kwanza cha Man City iliyofika nusu fainali ya kombe la UEFA..
Kwahiyo unataka kusema De Bruyne amesajiliwa na Pep..?
Chief,Guardiola kamkuta De Bruyne Man City..!
Kwahiyo wewe hauamini kuwa kila timu ina mchezaji/wachezaji fulani muhimu ambaye/ambao akikosekana/wakikosekana uwanjani timu inayumba..?Hoja yako ni utetezi juu ya Debrune asipokuwa fiti basi hatoweza kusonga mbele, kwani anacheza mwenyewe uwanjani?
Nimeiscreen short hii SMS ili mkija kufeli chochote kati ya hayo uwe unajua kubaki na kumbukumbu ya maneno yako [emoji56]City atabeba EPL
Atafika Finals UCL
Atabeba FA
Atabeba EFL
Watakao weza kumzuia kubeba UCL ni
Barça, Bayern Munich na Inter
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]Epl tunabeba na Champion League wala usiwe na shaka.Nimeiscreen short hii SMS ili mkija kufeli chochote kati ya hayo uwe unajua kubaki na kumbukumbu ya maneno yako [emoji56]