The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahhaahhahahahahahahahahahahahahahahahahhaahhahahahahahahahahahahahaaha.


Daaahh .... Maisha sio fair wanangu
Ubao wa matokeo unaonyeshaje...???
Nipo mbali na TV
 
Screenshot_20191008-153640.jpeg
 
Hoja yako ni utetezi juu ya Debrune asipokuwa fiti basi hatoweza kusonga mbele, kwani anacheza mwenyewe uwanjani?
De Bruyne alikuwepo kwenye kikosi cha kwanza cha Man City iliyofika nusu fainali ya kombe la UEFA..
Kwahiyo unataka kusema De Bruyne amesajiliwa na Pep..?
Chief,Guardiola kamkuta De Bruyne Man City..!
 
Huu mwaka sijui pep anataka nin, epl naona kama anaipuuzia,


Kama anataka uefa basii inabid akaze
 
Jamani safari ya matumaini bado ipo leo lazima tumkalishe chini Aston Villa iwe isiwe.
 
City atabeba EPL

Atafika Finals UCL

Atabeba FA

Atabeba EFL

Watakao weza kumzuia kubeba UCL ni

Barça, Bayern Munich na Inter
 
Back
Top Bottom