Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
HahahaKuna mtu alinifundisha kwamba team ikishinda tunakuwa tumeshinda wote....ikifungwa wamefungwa wao sio mimi
Tukishinda nashangilia,wakifungwa watajua wenyewe
Najaribu kuishi na hili [emoji121][emoji115]
So matokeo yoyote niko okay nayo kwa sasa....sina hata dalili ya hali ngumu
Hahaha
Usijal mi na wewe timu moja matokeo ya juzi ni yakawaida sanaKama teams zako zinaboa kama zangu jaribu kufanya kama niliyoambiwa mie,itakusaidia kupunguza kukonda kwa mawazo[emoji28][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hili ni genge la mashabiki wa Manchester United na Arsenal wamekimbilia humu hakuna real fans wa City humu.
Hahaha hahaha mkuu uliandika kutokea ndani kabisa kwenye kilindi cha moyo wako[emoji3][emoji3][emoji3]Real fan ni yule ambaye anashinda humu jukwaani kujadili..!?
Wewe endelea kupoteza muda humu, wenzako sasa hivi tupo ndani ya 5 stars hotel hapa Merseyside County tunasubiri kesho tuingie Anfield tukacheki game wakati huo wewe punguani utakuwa kibanda umiza kipigana vikumbo na wazembe wenzio ili upate upenyo wa kuona chochote kitu kupitia TV ya inchi 21..!
Liverpool alishinda mechi ile kwa mbeleko,
Oliver aliwanyima city penat mbili na kuruhusu goli la offside la Salah.
Liverfools won't win the league
Kushinda Man United?Hii timu ni mbovu sana.
Ivi kumbe ndo ilikuwa hivi??Liverpool alishinda mechi ile kwa mbeleko,
Oliver aliwanyima city penat mbili na kuruhusu goli la offside la Salah.
Liverfools won't win the league
Kumbe mlikuwa mnategemea mpate penalty ndo mshinde? Kwa taarifa tu, Pep hajawah shinda mechi yoyote Anfield. Pole kwa masononeko ya.moyo.Liverpool alishinda mechi ile kwa mbeleko,
Oliver aliwanyima city penat mbili na kuruhusu goli la offside la Salah.
Liverfools won't win the league
Akawe refa yeye [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kanunue filimbi upulize Useme ni offside
Kumbe mlikuwa mnategemea mpate penalty ndo mshinde? Kwa taarifa tu, Pep hajawah shinda mechi yoyote Anfield. Pole kwa masononeko ya.moyo.
matokeo ngapi ngapi?Na tarehe 23 anapigwa tena na chealsea