The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Real fan ni yule ambaye anashinda humu jukwaani kujadili..!?
Wewe endelea kupoteza muda humu, wenzako sasa hivi tupo ndani ya 5 stars hotel hapa Merseyside County tunasubiri kesho tuingie Anfield tukacheki game wakati huo wewe punguani utakuwa kibanda umiza kipigana vikumbo na wazembe wenzio ili upate upenyo wa kuona chochote kitu kupitia TV ya inchi 21..!
Hahaha hahaha mkuu uliandika kutokea ndani kabisa kwenye kilindi cha moyo wako[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Liverpool alishinda mechi ile kwa mbeleko,
Oliver aliwanyima city penat mbili na kuruhusu goli la offside la Salah.
Liverfools won't win the league
Kumbe mlikuwa mnategemea mpate penalty ndo mshinde? Kwa taarifa tu, Pep hajawah shinda mechi yoyote Anfield. Pole kwa masononeko ya.moyo.
 
Kumbe mlikuwa mnategemea mpate penalty ndo mshinde? Kwa taarifa tu, Pep hajawah shinda mechi yoyote Anfield. Pole kwa masononeko ya.moyo.
Screenshot_20191112-173159.jpeg
 
Jamaa mna dharau sana, leo ndio mmeona mendy acheze. Hiyo game msha fugwa
 
Back
Top Bottom