The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

hii timu ni ya wakimbizi waliokimbia shida Arsenal, Man U na Liverpol ya miaka ileeee ndio wamehamia huku kutengeneza Genge linaitwa Man City[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe,
hakuma shabiki wa Man u, mwenye akili timamu anaweza kwenda kushabikia City . kuna sababu kama 10. Za kutokufanya hivyo

Beggars can't be choosers
 
Mmekimbia uzi
Screenshot_20200225-154342_Instagram.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom