The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

forward benzema alafu mnataka kumfunga city ha ha hizi dharau

Chelsea Jana mmechukua tatu kimya na Bayern ile wakati Mimi Bayern hipo moto wamechukua tatu

sergio aguero kuna hatrick yake Leo


cityzen chairman am here
 
Hivi nyie wakimbizi mliotokea Liverpool mmejiandaa kisaikolojia leo?
Mmeona mwenzenu daraja bovu alichofanyiwa usiku wa Jana mjiandae mwenzio akinyolewa za kwako tia maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pep Guardiola ana kibarua kizito sana cha kumreplace David Silva

DeBruyne akishadhibitiwa timu yote inapoteana

Pengo la David Silva ni dhahiri shahiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
football ni mchezo nzuri sana

kwa sasa tukiwa tunaongea kuhusu football tuongelee kuhusu quality tu na sio history au record pumbavu

yani Madrid wataka kucheza sisi alafu forward benzema ha ha

Nawataka tena etihad


na sitaki kumuona shabiki wa Chelsea au Liverpool jukwaa hili nataka kuongea na Bayern na Dortmund -anyalata

cityzen chairman am here
 
Mahrez kapoteza chances nyingi sana, poor finishing. ManCity angekpata zaidi 2.
Ramos anakosa mkuu wa pili.
 
naona leo schoolkid varverde kamthibiti kabisa KDB

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani mfumo wa "kujilinda" alioanza nao Pep mwanzoni mwa mchezo ndio ulowapa nafasi Real kumdhibiti KDB. Alipoamua "kushambulia" aliwapa Real mchezaji wa kum-mark (Sterling) na hivyo kumfanya KDB kuwaletea matatizo.

Kimsingi plan ya Pep ilienda kama alivyotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijuhi nyinyi wengine labda Mnaangalia vipi mpira

first half pep guardiolla kwanza alitaka city wasicheze na hiyo plani ilikuwa success na diamond shape ya pep always lazima iwe success

lengo kuu la city jana ilikuwa si kutawala mchezo na ndiyo maana wanavyopata pep alikuwa anasema kwa ishara kwamba wasicheze nyuma

Mi sikuona kama de bruyne alikamatwa sio kweli"


ruksa kukosoa hoja
 
kdb alijitahidi kucheza kufuata maelekezo ya kocha wake


Mtu alie potea na sub yake ikafanywa kiusahihi ni benardo tu

mendi jana alicheka kwa kuonekana amechoka sana na ailikuawa anafanya vitu ambavyo havikuwa ndani ya uwezo wake

Walker alichoka ila uzoefu ulimsaidia kuwepo ndan ya mchezo



Rodri alicheza kwa kiwango kikubwa sana

Wakishilikiana na gudgan waliweza kuhimili mchezo na kuifanya city kushinda
 
Ingekuwa jambo la ajabu Man city kumaliza msimu huu bila kombe.
Samata 0 Man city 2

Tumetangulia Galilaya
 
Back
Top Bottom