koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Mkuu kumbuka Bavarians sio CitizenNaiona Lyon akiingia fainal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kumbuka Bavarians sio CitizenNaiona Lyon akiingia fainal
Sawa MkuuPep kwangu bado ni one of the best coaches, top 3 kama siyo top 5.
Swala la kutochukua UEFA akiwa na timu nzuri halisababishi mimi nimtoe kwenye makocha wazuri.
Shida moja inayombana ni flexibility, anataka kutuprove tofauti kuhusi tik tak yake, lakini muda unaenda na hapati ile exact fit ya kujaza puzzle yake.
Ni swala la muda, anaweza kupata pieces za kujazia puzzle akashinda UEFA, au akaamua kuwa flexible kwenye style yake ya mpira akachukua.
Haha...! haka kahoja watu wanakapita kama vile hawakaoni lakini maajabu ya mpira huwa hayana kanuni, usishangae yakitokea yasiyokuwa hayakutarajiwa watu wkakafichua upya na kukaona kana maana tena(ni mtizamo wangu tu).Naiona Lyon akiingia fainal
Haha...! haka kahoja watu wanakapita kama vile hawakaoni lakini maajabu ya mpira huwa hayana kanuni, usishangae yakitokea yasiyokuwa hayakutarajiwa watu wkakafichua upya na kukaona kana maana tena(ni mtizamo wangu tu).
Hivi hili liepizig ya ujerumani?Mkuu tatizo watu hawaangalii mpira wamebaki na majina yao eti timu kubwa,
Kama mpira ulikuwa umeangalia unakupa picha kama hii timu itashinda au itafungwa?
Man city amemtoa Madrid lakini magoli yote aliyofunga pass ni kutoka kwa varane (beki wa Madrid) ushindi wa ujanja janja uefa huwaga haupo.
Huwezi kufika mbali.
Final ni Bayern na Leipzig sasa hapo wote wanajuana anachukua yoyote yule hapo.
NdioHivi hili liepizig ya ujerumani?
Pale unapoambiwa inaenda kutana na bayan
Bora akwende tu, hizi style za ki Barcelona watu wameshazijulia, wanapiga pasi tatu goli, wanakuachia ball possession kibao.Bebwalona ile hata kama wewe ungekuwa kocha ni lazima ungebeba makombe tu, UEFA ni ya Wanaume mkuu. Pep atjipumzikie tu kufundisha mpira kwa matarajio ya kubeba kikombe cha UEFA atanenepa pia
Na yeye ni usajiri wa PelegrinBinafsi sielewi tatizo ni nini kwa Pep, na wakimtimsha watapata kocha gani wa kuwapa UEFA?
Accuracy ya Barca kipindi cha Pep ilimbeba sana jamaa kuchukua UEFA.
Nahisi kutopata wachezaji wa caliber ya Xavi, Iniesta na Messi kutaendelea kumtesa sana. Kwa hii City, kwenye huo utatu namwona KDB peke yake.
Kwahiyo kwa point yako Kocha hana uwezo ila wachezaji.Binafsi sielewi tatizo ni nini kwa Pep, na wakimtimsha watapata kocha gani wa kuwapa UEFA?
Accuracy ya Barca kipindi cha Pep ilimbeba sana jamaa kuchukua UEFA.
Nahisi kutopata wachezaji wa caliber ya Xavi, Iniesta na Messi kutaendelea kumtesa sana. Kwa hii City, kwenye huo utatu namwona KDB peke yake.
Kwahiyo kwa point yako Kocha hana uwezo ila wachezaji.
Mmoja shavu zito mwingine kidevu kizito alaa kuli hali mambo yalikwenda halijojo