The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sawa Mkuu
 
Haha...! haka kahoja watu wanakapita kama vile hawakaoni lakini maajabu ya mpira huwa hayana kanuni, usishangae yakitokea yasiyokuwa hayakutarajiwa watu wkakafichua upya na kukaona kana maana tena(ni mtizamo wangu tu).

Mkuu tatizo watu hawaangalii mpira wamebaki na majina yao eti timu kubwa,

Kama mpira ulikuwa umeangalia unakupa picha kama hii timu itashinda au itafungwa?

Man city amemtoa Madrid lakini magoli yote aliyofunga pass ni kutoka kwa varane (beki wa Madrid) ushindi wa ujanja janja uefa huwaga haupo.

Huwezi kufika mbali.

Final ni Bayern na Leipzig sasa hapo wote wanajuana anachukua yoyote yule hapo.
 
Hivi hili liepizig ya ujerumani?
 
Bebwalona ile hata kama wewe ungekuwa kocha ni lazima ungebeba makombe tu, UEFA ni ya Wanaume mkuu. Pep atjipumzikie tu kufundisha mpira kwa matarajio ya kubeba kikombe cha UEFA atanenepa pia
Bora akwende tu, hizi style za ki Barcelona watu wameshazijulia, wanapiga pasi tatu goli, wanakuachia ball possession kibao.

Ujinga mtupu
 
Guardiola hawezi kutupa uefa Ana overthink game za kawaida.
Unaenda kujaza viungo wakabaji na beki 5.
Unajarib formation knockout stage kweli?
 
Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
 
Na yeye ni usajiri wa Pelegrin



MAGUFULI4LIFE.
 
Kwahiyo kwa point yako Kocha hana uwezo ila wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…