[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
HahahaUbaya pep Hana pressure.
Mpk anasema Kama tutalipata sawa na tukilikosa sawa.
Na ii ni aibu baada ya psg kufika fainali
Vp psgHahaha
Hamna DNA na hilo Kombe
PSG wanasindikiza tuVp psg
Aone aibu Nani?
'I want to be the one who breaks the Guardiola myth a bit,' Toure said.Aone aibu Nani?