George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Chief, mimi shabiki mwenzako wa City. Nakusihi usiiamini sana hii habari ya Messi kuhama Barcelona, sio rahisi kama unavyochukulia.2 years deal.
View attachment 1548873
Ashaiandikia bod ya Barca barua anataka mvua na jua vyote poa,anaondoka.Chief, mimi shabiki mwenzako wa City. Nakusihi usiiamini sana hii habari ya Messi kuhama Barcelona, sio rahisi kama unavyochukulia.
Kijamaa kinataka mkataba mnono tu,hapo anatingisha kiberiti tu.Chief, mimi shabiki mwenzako wa City. Nakusihi usiiamini sana hii habari ya Messi kuhama Barcelona, sio rahisi kama unavyochukulia.
Hi midfield hapana brother.Pale kwenu inatakiwa midfield anaanza Fernandinho, Rodri, Gundogan
Halafu pale Mbele Bernardo Silva atokee sub maana si mtu wa kufunga goli nyingi
Rodri,may be foden na na kdbPale kwenu inatakiwa midfield anaanza Fernandinho, Rodri, Gundogan
Halafu pale Mbele Bernardo Silva atokee sub maana si mtu wa kufunga goli nyingi
Mkuu unawapa watu preshaLionel Messi called Pep Guardiola and told him: “Money will not be a hindrance. I want to play for #ManCity.” [via
@verobrunati
]
Hi midfield hapana brother.
It's so defensive
Hamna loloteNipo na gardiola
Mess anatua City soon
Apo nimekupata mkuuSorry nilikuwa nimemsahau Kevin Debruyne
Soon mzee ngoj tuchekNipo na gardiola
Mess anatua City soon