Akiondoka anaenda wapi huyu Pep ?Pep mwenyewe haeleweki km anaongeza mkataba ama haongezi.
Nadhan ndomana hawajasajil kiungo,kama akienda ngoja tuone falsafa za kocha mwngne zitabase kwenye nn.
System yake ni kasi kui defend.Akiondoka anaenda wapi huyu Pep ?
Inabidi atulie tu Man City maana kapewa hela nyingi sana miaka mitano yote ila UEFA hata nusu fainali tu sidhani kama amewahi fika
Bayern Munich kwa kweli huu ndio muda wake kutamba na tena Real Madrid na Barcelona zipo hoi muda huuSystem yake ni kasi kui defend.
Kazi sanaa.
Mwaka huu akikosa tena ligi itakuwa aibu.
Uefa naona bado bayern hashikiki.
Afuu huu uzi huu maswala ya kuwa hamuonekani siku mkifungwa muache .
Hakika kazi imeanza kwa kishindo heavyweightAya kazi ndo kwaaanza inaanzaView attachment 1630427View attachment 1630426
Bila kusajili Viungo hamtoboi kushindania ubingwa
Mpaka sasa viungo aliowaletea Pep naowajua ni wawili tu ,Gundogan na Rodri
Hamna budi kusajili kiungo kama sio viungo wawili wanaoweza kukaba na kufunga magoli kwa wakati mmoja ,watu hao ni kama Aouar ,Pogba ,Arturo Vidal