The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep mwenyewe haeleweki km anaongeza mkataba ama haongezi.
Nadhan ndomana hawajasajil kiungo,kama akienda ngoja tuone falsafa za kocha mwngne zitabase kwenye nn.
Akiondoka anaenda wapi huyu Pep ?

Inabidi atulie tu Man City maana kapewa hela nyingi sana miaka mitano yote ila UEFA hata nusu fainali tu sidhani kama amewahi fika
 
Akiondoka anaenda wapi huyu Pep ?

Inabidi atulie tu Man City maana kapewa hela nyingi sana miaka mitano yote ila UEFA hata nusu fainali tu sidhani kama amewahi fika
System yake ni kasi kui defend.
Kazi sanaa.
Mwaka huu akikosa tena ligi itakuwa aibu.
Uefa naona bado bayern hashikiki.
 
System yake ni kasi kui defend.
Kazi sanaa.
Mwaka huu akikosa tena ligi itakuwa aibu.
Uefa naona bado bayern hashikiki.
Bayern Munich kwa kweli huu ndio muda wake kutamba na tena Real Madrid na Barcelona zipo hoi muda huu

Bayern akishindwa kucapitalize kwa kuzoazoa UCL now haa atakuja juta
 
1st goal. Walker
1604154149346.gif
 
Mashabiki wengi wa manyuu sijui ni ccm? Naona wamegomea vpn ya mabeberu
 
Bila kusajili Viungo hamtoboi kushindania ubingwa

Mpaka sasa viungo aliowaletea Pep naowajua ni wawili tu ,Gundogan na Rodri

Hamna budi kusajili kiungo kama sio viungo wawili wanaoweza kukaba na kufunga magoli kwa wakati mmoja ,watu hao ni kama Aouar ,Pogba ,Arturo Vidal
 
Kwa sasa kiungo mnaemtegemea atafunga yuko mmoja tu(KDB) na watu washamjulia kumzuia kufunga
 
Back
Top Bottom