Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Yaaah kweli performance imekuwa juu sana ,nadhan ni mbinu za pep kutotegemea mchezaji mmojaAfu wazee hivi mmenotice kwamba tangia Fundi KDB awe nje ya kikosi, performance yetu imepanda sana [emoji51][emoji51] Timu imekuwa inacheza kitimu zaidi na kupata matokeo
Yaaah kweli performance imekuwa juu sana ,nadhan ni mbinu za pep kutotegemea mchezaji mmoja
Hata aguero alivoumia pep hajateteleka ....
Toka kampany aondoke Kyle nyuma kukayumba ,pep alizikujiimalisha sehemu zote ili hata pengo lingine likitokea bado tunakuwa moto ....!
Hii ndio maana ya kikosi kipana...
Nani amekuambia Spurs ni mbovu wewe? Umeona mpira uliopigwa juzi? Everton na wewe Man city munatofauti gani kiuwezo?? Mitano tena..[emoji1672]Spurs ya sasa ni mbovu sana ,tusipochukua point tatu kesho sitamuelewa pep
Game ya kwanza tulikosa ubunifu tukafungwa goli mbili za kijinga ,
Hiki kikos kinaimaliza spurs
Mahrez tatizo lake anashindwa kutumia miguu yote ,anadribble mpira kumgeuza beki ili apige na left foot tayar beki wanablock mapema ,wameshamjulia ,aanze jesus hii gameView attachment 1700841
Pambania top four huko sisi tunamuwaza buyern Munich uefa ...Nani amekuambia Spurs ni mbovu wewe? Umeona mpira uliopigwa juzi? Everton na wewe Man city munatofauti gani kiuwezo?? Mitano tena..[emoji1672]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huu mkoko utawauaSpurs ya sasa ni mbovu sana ,tusipochukua point tatu kesho sitamuelewa pep
Game ya kwanza tulikosa ubunifu tukafungwa goli mbili za kijinga ,
Hiki kikos kinaimaliza spurs
Mahrez tatizo lake anashindwa kutumia miguu yote ,anadribble mpira kumgeuza beki ili apige na left foot tayar beki wanablock mapema ,wameshamjulia ,aanze jesus hii gameView attachment 1700841
Walibahatika wakat topo vibaya sio sasaDias na stone inabidi wamchunge sana son ,mipira ya penetration ndio inawasidia spurs ,
son anajua kujipostion ili atelezeshewe mpira ,so inabidi tuwe makini
Key playersFrenandiho hii game inamhitaji sanaaa...View attachment 1700843View attachment 1700844
Kinachowakuta Liverpool aisee ...Sio kazi rahisi kutetea epl