The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
man_cityforever-20210212-0002.jpg
 
Spurs ya sasa ni mbovu sana ,tusipochukua point tatu kesho sitamuelewa pep

Game ya kwanza tulikosa ubunifu tukafungwa goli mbili za kijinga ,

Hiki kikos kinaimaliza spurs

Mahrez tatizo lake anashindwa kutumia miguu yote ,anadribble mpira kumgeuza beki ili apige na left foot tayar beki wanablock mapema ,wameshamjulia ,aanze jesus hii game
mancityzenscom-20210212-0001.jpg
 
Dias na stone inabidi wamchunge sana son ,mipira ya penetration ndio inawasidia spurs ,

son anajua kujipostion ili atelezeshewe mpira ,so inabidi tuwe makini
 
Afu wazee hivi mmenotice kwamba tangia Fundi KDB awe nje ya kikosi, performance yetu imepanda sana [emoji51][emoji51] Timu imekuwa inacheza kitimu zaidi na kupata matokeo
 
Yaaah kweli performance imekuwa juu sana ,nadhan ni mbinu za pep kutotegemea mchezaji mmoja

Hata aguero alivoumia pep hajateteleka ....

Toka kampany aondoke Kyle nyuma kukayumba ,pep alizikujiimalisha sehemu zote ili hata pengo lingine likitokea bado tunakuwa moto ....!

Hii ndio maana ya kikosi kipana...
 
Ila nahisi Pia akiwepo KDB timu nzima inakuwa kwa mtu mmoja, akiwa off form basi na timu inashuka, ila this time hayupo naona kila mtu anajituma yaani kuna ile sense ya team play zaidi.. Unamuona Cancelo, Gundogan, Foden, kila mmoja akiwa na mpira unaenjoy

Nadhani Pep ampunguzie majukumu KDB, timu iendelee na aina hii ya uchezaji
 
Spurs ya sasa ni mbovu sana ,tusipochukua point tatu kesho sitamuelewa pep

Game ya kwanza tulikosa ubunifu tukafungwa goli mbili za kijinga ,

Hiki kikos kinaimaliza spurs

Mahrez tatizo lake anashindwa kutumia miguu yote ,anadribble mpira kumgeuza beki ili apige na left foot tayar beki wanablock mapema ,wameshamjulia ,aanze jesus hii gameView attachment 1700841
Nani amekuambia Spurs ni mbovu wewe? Umeona mpira uliopigwa juzi? Everton na wewe Man city munatofauti gani kiuwezo?? Mitano tena..[emoji1672]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Pambania top four huko sisi tunamuwaza buyern Munich uefa ...

Hapa england hakuna wakutuzuia tena....

Chelsea unapata wapi ujasiri wa kuingia Uzi wa wanaume kama city ..
 
Spurs ya sasa ni mbovu sana ,tusipochukua point tatu kesho sitamuelewa pep

Game ya kwanza tulikosa ubunifu tukafungwa goli mbili za kijinga ,

Hiki kikos kinaimaliza spurs

Mahrez tatizo lake anashindwa kutumia miguu yote ,anadribble mpira kumgeuza beki ili apige na left foot tayar beki wanablock mapema ,wameshamjulia ,aanze jesus hii gameView attachment 1700841
Huu mkoko utawaua
 
Dias na stone inabidi wamchunge sana son ,mipira ya penetration ndio inawasidia spurs ,

son anajua kujipostion ili atelezeshewe mpira ,so inabidi tuwe makini
Walibahatika wakat topo vibaya sio sasa
 
Sio kazi rahisi kutetea epl
Kinachowakuta Liverpool aisee ...

Wamepoteza confidence kabisa ,Alison sio kipa tena imeshakuwa pazia..

Pressing yao haina madhara tena ,huko nyuma wanabeki mbovu sana ,na ndio zitawatoa kwenye mbio za ubingwa ....
 
Back
Top Bottom