Foden all dayPenalty
Inaonekana hatuna confidence kabisa kwenye swala la kushoot penalty ,daa hili linanisikitisha ,inamaana pep halioni....
Swala la ederson kutaka kuwa mpiga penalty ni high risk tunatake ......
Rodrigo Jana kapiga penalty sijajua pep ndio kamtuma au laaah ....
ila nataman kuona foden au bernado Silva wakipiga penalty ..
Nilipomuona mahrez nje nikajua jesus ndo sub.Swala la Jesus kutoka na kuingia mahrez aisee inaonesha namna gan pep hahitaji striker kufunga goli ...
False 9 technique naona pep inampa matunda ,Leo mahrez anacheza position mabayo its very hard kumnote ....
Foden-jesus -stering ...
Mahrez-aguero -stering..
Kuna muda pep anaamua kutumia
Mahrez -KDB-stering ,hapa ni baada ya (Jesus na aguero kutokuwepo) ..kama front line aisee
Sasa naona mahrez anabadilishwa taratibu yaan..
FODEN-MAHREZ-STERING
Well said mkuu. Umeandika kweli tupu. Ila umeniacha hoi na hiyo kitu ya Chelsea kutafuta magoli kwa tochi. Sijui inakuwaje Chelsea wanashindwa kutengeneza magoli ilhali wanao washambuliaji wachezaji (no 10) wazuri sana: Mount na Kai. Kweli soka gumu. Alishindwa Lampard, na taratibu namuona Tuchel naye akishindwa kutatua hilo tatizo.Mkuu EPL run bado inaendelea ...
Pep kitendo cha kuwapa nafasi wachezaji na kuwaamini kimemfanya kuwa na kikosi kipana cha ziada ,Leo hata aguero itabidi ajitume kurudi IX ,la sivyo nafasi yake itaendelea kuchukuliwa na pengo lake halitaonekana ...
Aisee ,stone ,laporte ,zincheko hawa wamegain confidence saizii,nadhan muda aliowapa pep na kuwavumilia kumewasaidia ,msimu uliopita baada ya kampany kuondoka stone ,laporte wote walikuwepo lakin hawakuwa on fire kama saizi ,sijajua labda ni kwa vile frenandihno alirudi CB swala ambalo combination yao ilipwaya na mbio za ubingwa zikawa zimeishia hapo ....
Bernado -Rodrigo- gundogun
Hizo ni mido zinazoibeba city kwa sasa ,zinawafanya kina stering ,jesus,na mahrez wasitumie nguvu kubwa Kule mbele na kufunga magoli mepesi ...nasema mepesi kwa sababu timu inarelax ,tunadominate mpaka unashangaa goli laini linafungwa ....
Ukitaka kujua mpira sio rahisi angalia Chelsea wanavotafuta goli .....hahaaaa
Nadhani inabidi utafute upya takwimu za uwekezaji wa Liverpool. Vinginevyo umenena vema. Timu lazima zijue uwekezaji ni suala endelevu.Uwekezaji miaka mi5 iliopota
1. Man City - £601m
2. Man Utd - £484m
3. Arsenal - £267m
4. Everton - £225m
5. Brighton - £214m
6. Wolves - £205m
7. West Ham - £187m
8. Bournemouth- £176m
9. Villa - £166m
10. Watford - £125m
11. Leicester - £124m
12. Newcastle - £122m
13. Chelsea - £115m
14. Liverpool - £107m
Mnazidiwa adi na brighton, bournemouth, watford.
Kwaio ata kutukazia miaka mi3 mfululizo na iko kikosi, ilikuwa ni bahati kubwa mno.
Wachezji wamechoka.
Misimu mi3 wanakomaa mwanzo mwisho.
Klopp nae kwenye dirisha la usajili akawaambia hamna shida sana swala la kusajili.
Liverpool inatuzidi kwenye faida ya uuzaji wachezaji.
Alaf tunaizidi kwenye uwekezaji
Pep, kamchagua Ederson kupiga penati, na anasema ndio mzuri kuliko wote, na Jana baada ya mechi aliulizwa kuhusu hilo suala ka sasa amempa Rodrigo kupiga penati, Kasema hapana, na kaiponda penati aliyopiga Rodrigo,Penalty
Inaonekana hatuna confidence kabisa kwenye swala la kushoot penalty ,daa hili linanisikitisha ,inamaana pep halioni....
Swala la ederson kutaka kuwa mpiga penalty ni high risk tunatake ......
Rodrigo Jana kapiga penalty sijajua pep ndio kamtuma au laaah ....
ila nataman kuona foden au bernado Silva wakipiga penalty ..
Ederson anamashoot ,nadhan ni kwa vile alishazoea kuondoa mipara kwa kupiga mbele ,ila bado ......Pep, kamchagua Ederson kupiga penati, na anasema ndio mzuri kuliko wote, na Jana baada ya mechi aliulizwa kuhusu hilo suala ka sasa amempa Rodrigo kupiga penati, Kasema hapana, na kaiponda penati aliyopiga Rodrigo,
Ila sasa kilichotokea ni ile hasira tu ya kukosa penati Mara kwa Mara ndio kilimfanya Rodrigo kupiga ile penati, Rodrigo anasema baada ya game na Liverpool wakiwa vyumbani wakawa wanataniana ndipo Yeye akasema ikitokea penati tena atapiga yeye, wenzake wakacheka, anasema hata walivyopata penati alivyoshika mpira akakuta wenzake wote wamemwachia akafurahi.
Pep bado ameacha mikoba ya kupiga penati kwa Ederson
Daaaaaah ko unataka upingane na mwenye timu Pep, unataka kusema Pep hajawaona Foden na Bernardo hadi akamtaja Ederson.Ederson anamashoot ,nadhan ni kwa vile alishazoea kuondoa mipara kwa kupiga mbele ,ila bado ......
Mim naamin foden na Bernardo wanaweza kushoot penalty vizur wakitulia ....
Sio kupingana ,ukikutana na forward Kali kama vardy au son then kipa akapiga penalty may be ikagonga post (any thing can happen )ni rahisi sana kupigwa attack ..Daaaaaah ko unataka upingane na mwenye timu Pep, unataka kusema Pep hajawaona Foden na Bernardo hadi akamtaja Ederson.
Sikusema mimi kwa mawazo yangu ila nilisema kile alichokisema Pep, na kwa vile yeye ndo anakaa nao kwenye mazoezi let continue to trust him
Risk katika maisha uwezi kuikwepa, sasa kama yeye anaweza kupiga kuliko mwingine uwanjani?.Sio kupingana ,ukikutana na forward Kali kama vardy au son then kipa akapiga penalty may be ikagonga post (any thing can happen )ni rahisi sana kupigwa attack ..
Distance ya kipa kutoka kwenye box ya mpinzan hadi golin kwake Tatar mpira unaweza kuwa umetua nyavuni ...
Kama uliona vizur kabla ya Rodrigo kushika mpira ederson alikuwa kashasogea kwa ajir ya penalty ...
Aisee Mimi niliona kama anazingua ....
[emoji838]Pep Guardiola on Ederson and penalties: "If he can play that pass from 70 yards he can shoot from 12. His quality of the shot is good. I know him. Penalties are different. I need to think. I am so delighted Rodri. But penalty was not good. CL is coming. When you miss it is so hard.Daaaaaah ko unataka upingane na mwenye timu Pep, unataka kusema Pep hajawaona Foden na Bernardo hadi akamtaja Ederson.
Sikusema mimi kwa mawazo yangu ila nilisema kile alichokisema Pep, na kwa vile yeye ndo anakaa nao kwenye mazoezi let continue to trust him
Njoo upaone mkundumaHatutaki mavi ya mtu mzima haidi kutoa uko kudogo tupaone tu.
Nikiwa jiji LA Manchester!!Mkuu unateseka ukiwa Wap...
Ubingwa hamchukui mbwa nyie!Anza kunya mapema