Mkuu EPL run bado inaendelea ...
Pep kitendo cha kuwapa nafasi wachezaji na kuwaamini kimemfanya kuwa na kikosi kipana cha ziada ,Leo hata aguero itabidi ajitume kurudi IX ,la sivyo nafasi yake itaendelea kuchukuliwa na pengo lake halitaonekana ...
Aisee ,stone ,laporte ,zincheko hawa wamegain confidence saizii,nadhan muda aliowapa pep na kuwavumilia kumewasaidia ,msimu uliopita baada ya kampany kuondoka stone ,laporte wote walikuwepo lakin hawakuwa on fire kama saizi ,sijajua labda ni kwa vile frenandihno alirudi CB swala ambalo combination yao ilipwaya na mbio za ubingwa zikawa zimeishia hapo ....
Bernado -Rodrigo- gundogun
Hizo ni mido zinazoibeba city kwa sasa ,zinawafanya kina stering ,jesus,na mahrez wasitumie nguvu kubwa Kule mbele na kufunga magoli mepesi ...nasema mepesi kwa sababu timu inarelax ,tunadominate mpaka unashangaa goli laini linafungwa ....
Ukitaka kujua mpira sio rahisi angalia Chelsea wanavotafuta goli .....hahaaaa