The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wote wapo fit ,...!

But mim binafs walker na mendy nikiwaonaga nakuwa na wasiwasi nyuma pale ..

Bora laporte na zincheko wawe IX wa muda wote huku dias na stone wakiwa constant..
Ndo udhaifu wa city hao wawili
 
Sana mzee.
Leo kweli anacheza nao
 
Leo Evaton watusamehe, tunaziitaji sana hizo point, tuna mambo mengi tunatakiwa tucheze UEFA , carabao cup, FA, na Ligi,
Point muhimu sana hizi kuzikusanya
Kabla mechi hazijaanza kubana sana na mamb ya uefa
 
[emoji2788] Pep Guardiola on whether Ilkay Gundogan could be out for a while: "I don't think so, he feels really good but not travelled because we don't want to take a risk. Maybe if it was a final or something special, maybe we'd have taken a risk. It's not a big issue."
 
Leo nategemea kuchukua point tatu kwa everton ,..

Everton ni timu nzur ila kwa sasa mbovu mbele ya city ,..

Everton kama lecister hawana possesion sana ila wanamipira ya hatari wakiwa wanashambulia james rodriguez ni mtu wa kumnote sana ,anamashoot ya mbali ...

Dias na stone inabid leo wawe kwenye form ya siku zote ...

Gundo hayupo goal machine wetu ,kdb karudi sijajua kama yupo on fire kama mwanzo ,aguero nae ...

Zincheko -dias-stone-laporte

Bernado -kdb-rodri

Stering -arguero-foden

But pep alivo genius anaweza mweka kdb false 9 na aguero ndani ...hapo ndio huwa hadi makocha wengine wanabaki hoi...yaan



Hapo inabidi kdb na bernado wacheze AMF then rodri awe DMF kuokoa makosa ya kina dias na stone

Sijui pep atawaua vip everton ila naamin hapo eveton hachomokii.....


 
Umemsahau beki mbunifu cancelo kwa sasa
 
Ila ii inaonyesha tutacheza beki tatu apo cancelo kama mido
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…