Leo nategemea kuchukua point tatu kwa everton ,..
Everton ni timu nzur ila kwa sasa mbovu mbele ya city ,..
Everton kama lecister hawana possesion sana ila wanamipira ya hatari wakiwa wanashambulia james rodriguez ni mtu wa kumnote sana ,anamashoot ya mbali ...
Dias na stone inabid leo wawe kwenye form ya siku zote ...
Gundo hayupo goal machine wetu ,kdb karudi sijajua kama yupo on fire kama mwanzo ,aguero nae ...
Zincheko -dias-stone-laporte
Bernado -kdb-rodri
Stering -arguero-foden
But pep alivo genius anaweza mweka kdb false 9 na aguero ndani ...hapo ndio huwa hadi makocha wengine wanabaki hoi...yaan
Hapo inabidi kdb na bernado wacheze AMF then rodri awe DMF kuokoa makosa ya kina dias na stone
Sijui pep atawaua vip everton ila naamin hapo eveton hachomokii.....
View attachment 1704940