Vipi imekuwaje?Ulimfunga Arsenal na Chelsea tu
Arsenal kawa rejuvenated huwezi mpiga bila KDB
Chelsea wa Tuchel kwa hii diamond yako ya Rodri huwezi mpiga pia,Spurs sidhani kama unamuweza.
Liverpool ndiyo kabisa humuwezi bila KDB
Wekea nyota hizi msg
Hizi game za March mtashinda zote..huku tukitarajia manure atapoteza mechi kadhaa ..hivyo sisi na ninyi tutaenda sawa hadi apo April ambapo mutaanza kupoteana maana huyu Pep yee atataka kubeba makombe yote..hivyo susi kama Chelsea tutatumia hii nafasi kuhakikisha tunanyakuwa nafasi ya kwanza.Sawa kwa sababu wakat ww unashinda mm na lose tuu mech nne mfululizo
Kama unaota Mzee ebu amka sasa..Hizi game za March mtashinda zote..huku tukitarajia manure atapoteza mechi kadhaa ..hivyo sisi na ninyi tutaenda sawa hadi apo April ambapo mutaanza kupoteana maana huyu Pep yee atataka kubeba makombe yote..hivyo susi kama Chelsea tutatumia hii nafasi kuhakikisha tunanyakuwa nafasi ya kwanza.
Asanteni .
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huyo kashajichokea achana nae.Vipi imekuwaje?
Kesho kutwa tuna mechi muhim tuanze kubatle na Arsenal?Naona Arse8 kawabana mbavu mumeshinda moja tu ..sasa tukikutana na Tuchel ni kipigo nina uhakika hadi mwezi wa nne haupo hapo..
Tunza hili andiko..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Naona umeumia kumfunga Arsenal moja, hivi ujui kua Arteta ni ndugu yetu YuleNaona Arse8 kawabana mbavu mumeshinda moja tu ..sasa tukikutana na Tuchel ni kipigo nina uhakika hadi mwezi wa nne haupo hapo..
Tunza hili andiko..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Aisee nyie Chelsea' mtakula goli za kutosha ,saton tu mmeshindwa kumfunga ...Naona Arse8 kawabana mbavu mumeshinda moja tu ..sasa tukikutana na Tuchel ni kipigo nina uhakika hadi mwezi wa nne haupo hapo..
Tunza hili andiko..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Naomba unisaidie nguvu ya wazo lako hili umeifikiri toka katika ubongo upi hasa ,wa mbele ama wa nyumaHizi game za March mtashinda zote..huku tukitarajia manure atapoteza mechi kadhaa ..hivyo sisi na ninyi tutaenda sawa hadi apo April ambapo mutaanza kupoteana maana huyu Pep yee atataka kubeba makombe yote..hivyo susi kama Chelsea tutatumia hii nafasi kuhakikisha tunanyakuwa nafasi ya kwanza.
Asanteni .
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Naona mtani wangu unajaribu kujitutumua. Tatizo lililomng'oa Lampard Tuchel naye inaelekea hana suluhisho. Timu yenu haiendi bila mshambuliaji mchezeshaji mzuri. Nimesema mzuri, si machachari. Ukitaka kujua namna ilivyo ngumu kutengeneza nafasi kwenye mechi ya soka tazama mechi za Chelsea.Hizi game za March mtashinda zote..huku tukitarajia manure atapoteza mechi kadhaa ..hivyo sisi na ninyi tutaenda sawa hadi apo April ambapo mutaanza kupoteana maana huyu Pep yee atataka kubeba makombe yote..hivyo susi kama Chelsea tutatumia hii nafasi kuhakikisha tunanyakuwa nafasi ya kwanza.
Asanteni .
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kwa draw na SouthamptonHizi game za March mtashinda zote..huku tukitarajia manure atapoteza mechi kadhaa ..hivyo sisi na ninyi tutaenda sawa hadi apo April ambapo mutaanza kupoteana maana huyu Pep yee atataka kubeba makombe yote..hivyo susi kama Chelsea tutatumia hii nafasi kuhakikisha tunanyakuwa nafasi ya kwanza.
Asanteni .
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app