The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

They said ederson has covid we brought in Zack
Said our defence is horrible we recreated Stones
Said F25 is old brought a young Rodri
Said we're nothing without Laporte we brought Dias
Injured walker we brought in Cancelo
Said when D.Silva goes we die but B. silva is here
Said it was a mistake letting sane go we gave them Foden
Took out KDB we gave them Gundo
Said were nothing proved we're City
 
Bado naendelea kusema sioni mwingine wa kuchukua EPL msimu huu zaidi ya Man City,saa hii kila team inapo kutana na hawa watoto wa mji pressure juu.
 
Kituo kifuatacho
FB_IMG_16136475483068876.jpg
 
Ulimfunga Arsenal na Chelsea tu
Arsenal kawa rejuvenated huwezi mpiga bila KDB
Chelsea wa Tuchel kwa hii diamond yako ya Rodri huwezi mpiga pia,Spurs sidhani kama unamuweza.
Liverpool ndiyo kabisa humuwezi bila KDB
Wekea nyota hizi msg
Vipi imekuwaje?
 
Tunawakaribisha, wote washiriki wa EPL kua bingwa wenu mtarajiwa anacheza leo na Utopolo flani hivi. Ila sisi hatubagui tunapiga yeyote anayejipendekeza mbele
 
Sawa kwa sababu wakat ww unashinda mm na lose tuu mech nne mfululizo
Hizi game za March mtashinda zote..huku tukitarajia manure atapoteza mechi kadhaa ..hivyo sisi na ninyi tutaenda sawa hadi apo April ambapo mutaanza kupoteana maana huyu Pep yee atataka kubeba makombe yote..hivyo susi kama Chelsea tutatumia hii nafasi kuhakikisha tunanyakuwa nafasi ya kwanza.
Asanteni .
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kama unaota Mzee ebu amka sasa..
 
Naona Arse8 kawabana mbavu mumeshinda moja tu ..sasa tukikutana na Tuchel ni kipigo nina uhakika hadi mwezi wa nne haupo hapo..
Tunza hili andiko..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Naona Arse8 kawabana mbavu mumeshinda moja tu ..sasa tukikutana na Tuchel ni kipigo nina uhakika hadi mwezi wa nne haupo hapo..
Tunza hili andiko..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kesho kutwa tuna mechi muhim tuanze kubatle na Arsenal?

Sis tunasaka points tatu hayo mengine waulize Southampton.
 
Fernandinho's game by the numbers vs Arsenal:

[emoji820] Most recoveries (9)
[emoji820] Most clearances (4)
[emoji820] Most tackles (3)
[emoji820] Most interceptions (2)
[emoji820] Most blocks (1)

man_cityforever-20210221-0001.jpg
 
Sijui sterling ataacha lini kukokota mpira bila kushoot golin ,...

Uefa huwa tunatolewa namna hio kizembe kabisa ,sterling bado hayupo vizur kutoa maamuz akiwa langoni ,anapoteza clear chance kabisa ,open chance anashindwa kuamua ,hii ni hatar hasa kwa uefa knock out stage ,one mistake one goal..sterling haiwezi kabisa hio ...

KDB karudi but sio kama wa mwanzo najua ata improve ...

Nyuma sina wasiwasi nao kabisa ,dias ,stone,frenandihno aisee wanatubeba ...

Aisee uefa inatakiwa ukipata one chance unatumia ipasavyo ,chance tumezopoteza kwa arsenal haitakiwi kuzipoteza uefa ...

mancityzenscom-20210221-0001.jpg
 
Hizi game za March mtashinda zote..huku tukitarajia manure atapoteza mechi kadhaa ..hivyo sisi na ninyi tutaenda sawa hadi apo April ambapo mutaanza kupoteana maana huyu Pep yee atataka kubeba makombe yote..hivyo susi kama Chelsea tutatumia hii nafasi kuhakikisha tunanyakuwa nafasi ya kwanza.
Asanteni .
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Naomba unisaidie nguvu ya wazo lako hili umeifikiri toka katika ubongo upi hasa ,wa mbele ama wa nyuma
 
Hizi game za March mtashinda zote..huku tukitarajia manure atapoteza mechi kadhaa ..hivyo sisi na ninyi tutaenda sawa hadi apo April ambapo mutaanza kupoteana maana huyu Pep yee atataka kubeba makombe yote..hivyo susi kama Chelsea tutatumia hii nafasi kuhakikisha tunanyakuwa nafasi ya kwanza.
Asanteni .
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Naona mtani wangu unajaribu kujitutumua. Tatizo lililomng'oa Lampard Tuchel naye inaelekea hana suluhisho. Timu yenu haiendi bila mshambuliaji mchezeshaji mzuri. Nimesema mzuri, si machachari. Ukitaka kujua namna ilivyo ngumu kutengeneza nafasi kwenye mechi ya soka tazama mechi za Chelsea.

Kai na Mount huenda wasijewahi kuwapa kile alichokuwa akiwapa Hazard. Wewe acha kuwaza ubingwa, waza top six. Na vile honeymoon ya kocha wenu imeisha mapema nawaona taratibu mkirejea kwenye nafasi yenu nje kidogo ya top six.
 
Hizi game za March mtashinda zote..huku tukitarajia manure atapoteza mechi kadhaa ..hivyo sisi na ninyi tutaenda sawa hadi apo April ambapo mutaanza kupoteana maana huyu Pep yee atataka kubeba makombe yote..hivyo susi kama Chelsea tutatumia hii nafasi kuhakikisha tunanyakuwa nafasi ya kwanza.
Asanteni .
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kwa draw na Southampton
 
Back
Top Bottom