Unawaza ata kumuuza utamuuza wapi
Sterling na jesus wana utoto sana ...
Hili kombe tutalikosa wadauSterling asugue benchi mpaka matako yachakae.
Lile ni garasa
Poleni sana wandugu. Ndio mpira huo!Pep kunatime anakwama sababu amezidisha kujiamin, alistahili uahindi ktk mechi ya leo ila si kwa kikosi hiki, huwezi kuwa siriously unataka ushindi afu unamuanzisha stering
Pep kunatime anakwama sababu amezidisha kujiamin, alistahili uahindi ktk mechi ya leo ila si kwa kikosi hiki, huwezi kuwa siriously unataka ushindi afu unamuanzisha stering
Sterling na jesus wana utoto sana ...
But we go again ..
Camoon the cityzen ,my club ,my life ...
Ilikuwa na si kwa sasaSterling ni first eleven ya Pep
Mkimtoa madrid nahama hii dunia naenda sayari ya jupter kabisa...Mlileta lomoni nyingi sana ..bado uefa kule mkaliwe tena
#CFC
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Madrid niwepesi sana.Mkimtoa madrid nahama hii dunia naenda sayari ya jupter kabisa...
Sio kwa ChelseaMadrid niwepesi sana.
Subiri hivyo hivyoSio kwa Chelsea