The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

4-2-3-1
IMG_20210417_185427_606.jpg
 
Pep kunatime anakwama sababu amezidisha kujiamin, alistahili ushindi ktk mechi ya leo ila si kwa kikosi hiki, huwezi kuwa siriously unataka ushindi afu unamuanzisha stering
 
Pep kunatime anakwama sababu amezidisha kujiamin, alistahili uahindi ktk mechi ya leo ila si kwa kikosi hiki, huwezi kuwa siriously unataka ushindi afu unamuanzisha stering
Poleni sana wandugu. Ndio mpira huo!
 
Sterling na jesus hawafai kuvaa jezi ya city ...

Sijajua kwanin pep kila akifanya rotation tunafungwa ...

Nilitamani kumuona

Mahrez

Bernado

Gundo

Foden waanze first half ...


Kila akiwaamin hawa kina sterling hawalet effect


Any way ...

Next epl astonvilla ...

We win together we lose together
 
Back
Top Bottom