The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mnamjua pulisic nyie
Mkuu unajua Leo wanakutana wote wawili kisaikorojia wakiwaza fainali

Sasa mchezo wa Leo ni sehemu ya mbinu za fainal na kumsoma mpinzani zaidi

Matokeo yanaweza kuwa tofaut na yatakayo kuja fainali

Hapo kwa Leo na ona kuna timu inapata goli moja na nyingne inaondoka bila goli
 
Uzuri ni kwamba haihitaji akili nyingi kumjua mshindi
 
Hili jukwaa ni la kituko sana, ety ww jamaa ndo mtetezi na msambaza taarifa wa hili jukwaa la wahuni 😂😂😂 uliwahi kuona wapi mtanzania shabiki wa man City.? Au haya mafanikio ya Pep ndo yalikudanganya.?
 
Sawa mkuu najua wewe una matokeo mfukoni ila unasahau kuwa mpira ni dakika tisin
Boss, mambo mengine yapo wazi kabisa, nyie C ndo mlikuwa mnamtaka Madrid UCL ety ndo size yenu.? Sasa huyo Madrid katolewa na mtakutana na moto msioutegemea na msije kulalamika ety Pep kaweka kikosi kibovu
 
Hili jukwaa ni la kituko sana, ety ww jamaa ndo mtetezi na msambaza taarifa wa hili jukwaa la wahuni [emoji23][emoji23][emoji23] uliwahi kuona wapi mtanzania shabiki wa man City.? Au haya mafanikio ya Pep ndo yalikudanganya.?
Unaonaekana namna gani ulivo mweupe kichwan ,huna unalolijua kuhusu mpira ..

Unaonesha ujinga wako hadharani mkuu pole sana ..

Kwanini lakin unajivua nguo mbele ya kadamnasi namna hii ..


Kwamba man city haina fans ? Huoni kama wewe ndio kilaza ? Huoni mkuu ...!!!!
 
Boss, mambo mengine yapo wazi kabisa, nyie C ndo mlikuwa mnamtaka Madrid UCL ety ndo size yenu.? Sasa huyo Madrid katolewa na mtakutana na moto msioutegemea na msije kulalamika ety Pep kaweka kikosi kibovu
Mkuu punguza maneno njoo baada ya tisini kuisha ili ushukuru au ualalamike
 
Hifadhi haya maneno
 
Wewe Chelsea ya lampard ndo ilikuwa saizi yako ..hii ya sasa ni mwiba kwa Kila timu
Washabiki wachelsea mnashangaza sana.
Hamna kitu mpaa sasa mkononi.
Kama FA nilikuwekea kikosi B kikakupelekea moto kiasi kile usiutamani moto niliowapelekea PSG na Dortmund.
 
Hawa washenzi wanaongea tuu.
Sijaona beki pale
Zile zoma na rudiga
Ama mzee silva.
Uzuri washukuru hawajakutana na foward za city
 
Chelsea anachukuliw akama underdog tuu si zaidi ya apo.
Amepew odd 4
City 1
 
Mnamjua pulisic nyie
[emoji23][emoji23] Yule pimbi na mpata.
Ila nadhan mmemsahau mtu kama mahrez, KDB, FODEN, GUNDOGAN, DIAZ, STONES, ZINCHENKO na kipa wangu EDERSON
ambao niliwapumzisha mechi ya FA
 
Tuchel amekiri kuwa mwaka ndo ataclose gap kwa pep winning machine
 
Leo ni
The best team in the world vs chelsea
 
FA haikuwa na mana sana kuweka full mkoko.
Washukuru sana niliweka mendy, sterling na vitoto vingne kibao.
Io siku Zinchenko alicheza kama namba 8.
Wachezaji 8 wa first eleven hawakuwepo na bado Chelsea ikabahatika goli moja tuu.
What a shame?
 
Ederson
Cancelo laporte ake mendy
rodri
Bernardo. Gundogan
KDB
Aguero. Jesus

Hiki kinatosha sana kuwaaibisha hii Chelsea mnayosema ni bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…