Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Mkuu unajua Leo wanakutana wote wawili kisaikorojia wakiwaza fainaliMnamjua pulisic nyie
Sasa mchezo wa Leo ni sehemu ya mbinu za fainal na kumsoma mpinzani zaidi
Matokeo yanaweza kuwa tofaut na yatakayo kuja fainali
Hapo kwa Leo na ona kuna timu inapata goli moja na nyingne inaondoka bila goli