Nimeona Mkuu...wanastahili kuongeza magoli mengine mawili maana mshindi msimu huu anaweza kupatikana kwa tofauti ya magoli na wale MANU wako bomba sana msimu huu...sioni timu nyingine ya kuzichallenge MANU na MANC labda wawe na majeruhi ya kutisha...lakini kwenye dakika 90 chochote kinaweza kutokea.
Ligi ni ngumu sana nahisi mtacheza mechi zote kama Final full kukamiwa! A new promoted team mmm! Pata picha mid table experienced teams itakuwaje? Kazi ngumu mnabidi mpigane kwelikweli