The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

umeona enheeee....

Nimeona Mkuu...wanastahili kuongeza magoli mengine mawili maana mshindi msimu huu anaweza kupatikana kwa tofauti ya magoli na wale MANU wako bomba sana msimu huu...sioni timu nyingine ya kuzichallenge MANU na MANC labda wawe na majeruhi ya kutisha...lakini kwenye dakika 90 chochote kinaweza kutokea.
 
1-1...sasa mpira kwa hizi dakika 30 zilizobaki utakuwa na ushindani wa hali juu huku kila timu ikitafuta ushindi.
 
Ligi ni ngumu sana nahisi mtacheza mechi zote kama Final full kukamiwa! A new promoted team mmm! Pata picha mid table experienced teams itakuwaje? Kazi ngumu mnabidi mpigane kwelikweli
 
[h=6]crazy football match at the eithad . . . game tamu!
[/h]
 
Back
Top Bottom