The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

We dogo kweli kiazi pia hujui last time United kabeba uefa eti miaka ya tisini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira umeujua kupitia game za play station huko PS[emoji23][emoji23][emoji23]plus betting [emoji23][emoji23]
Sina muda na hio takataka Mimi ..

Kwan man utd kitu gan ,??

Mimi najua kuna Manchester moja tu city ..

Hayo mengine ni nyumbu tuu
 
Pitaa kishoto kijana ...

Tupo tunashona suti za EPL na CL ..

Wewe endelea kutembea na historia..
football club inajengwa na mizizi kama historia hata hiyo man shit yako sahiv inatfuta historia sasa ww dogo nimekwambia umeanza ushabiki kupitia betting na magem ya PS unakaza kichwa [emoji23][emoji23][emoji23]2014 ww ..aibu kweli umekazana kudandia majukwaa ya man utd liva asanane kumbe mpira umeujua 2014
 
Sina muda na hio takataka Mimi ..

Kwan man utd kitu gan ,??

Mimi najua kuna Manchester moja tu city ..

Hayo mengine ni nyumbu tuu
Jidanganye hivyo hivyo dogo ukizungumzia Manchester kila mtu anajua unadhungumzia United haitakaa itokee City iwe juu ya united mpaka kiama ..even pundits au watangazaji mashabik wote hata hao waliopo city huko wakisema Manchester basi basi United na nyie Ni man city [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] tatizo mpira umeujua 2014
 
Na uefa Kuna kila dalili yakuikosa nyie viazi Pepo gadialo amuwez tuchel
Endelea kuteseka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Majitu yamefika final huko futuhi ,hayazungumzii yanakuja kushabikikia wanaume CL ..

KUNA MANCHESTER MOJA TU ,ZE CITYZEN
 
Tayari tumeshamtoa kwa kukufunga wewe.

Tuko nafasi ya tatu na Leo anapigwa tena na Utd.... Anazidi kutoka. Liverpool wanakuja hiyo nafasi na West Ham Utd
Nyie chelsea hio nafasi ya tatu sio yenu ...

Kuanzia Leo Saa mbili mnarudi nafasi yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
 
Naamin pep sio muoga ..

Angekuwa anaogopa game asingechezesha Mtu kama

Mendy wakati yupo zincheko ambaye kaperfom vizur PSG

Sterling wakat foden yupo

Jesus wakat kdb yupo

Aguero wakat mahrezi yupo

Stefan wakat ederson yupo

Ake wakat walker yupo

Laporte wakat stone yupo

Torres wakat bernedo Silva yupo ...

Kiufupi pep sijui alitaka nini ,kuweka bench watu kama hao then anataka ushindii ...

Any way ngonja tusubili final ...

Mkuu ina maana leo Stone kawa mzuri kuliko Laporte?
 
Hata hivo chelsea haifungiki ni timu kubwa sana hapa dunian ,ilitakiwa kuchukua makombe yote

EPL ,serial A,laliga ,CL hadi VPL ...

Mkuu hizi siyo komenti za kisoka.

Soka ni burudani si kejeli wa chuki[emoji23] burudani bila matani haiendi.

Tutumie lugha rafiki, matani n.k ili tupate burudani.

Mfano nikikoment kwako kuwa Leo nawacharaza vitatu oklock wewe unatakiwa kukanusha na kuweka doido na si chuki mkuu.
 
Lecister city najua Leo ataucheza mpira mwingi sana ,hawezi kukubali kutoka top 4 dakika za mwisho namna hii ...

United akipoteza tu tayar ubingwa EPL

Come on city

Mimi leo nipo upande wa Man u. Come on Manyumbuus. Leo piga hao leicester goli za kutosha[emoji23][emoji23]
 
Mkuu ina maana leo Stone kawa mzuri kuliko Laporte?
Siku zote ukuta ambao unaleta matokeo city ambao umepiga nje ndani

Borrusia M.

Dortmund

PSG

Ni

Walker ---- stone ---- dias ---- laporte

Laporte kwa stone ,stone bado anaquality nzur sana ,stone anapanda ,anarudi ,anajua kutackle ..
 
Mkuu hizi siyo komenti za kisoka.

Soka ni burudani si kejeli wa chuki[emoji23] burudani bila matani haiendi.

Tutumie lugha rafiki, matani n.k ili tupate burudani.

Mfano nikikoment kwako kuwa Leo nawacharaza vitatu oklock wewe unatakiwa kukanusha na kuweka doido na si chuki mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ilibidi nikubaliane nae tu ,mtu kashasema makombe yote yanatua Stamford bridge na hakuna wa kuzuia ,sisi man city hatuwezi kuzia viungo wa madridi kina casemiro ,ansesio ,kross ,mordic..

Kwamba chelsea pekee ndio wameweza ,mtu kama huyu haina haja ya kumjibu kisoka ,yeye kaja ki ushamba ushamba ...
 
Mimi leo nipo upande wa Man u. Come on Manyumbuus. Leo piga hao leicester goli za kutosha[emoji23][emoji23]
Wewe ni Chelsea,[emoji23][emoji23][emoji23]
unatetea nafasi yako kusubili man u ...

Pambana shinda mechi zako ...!

Mim naamin ,arsenal ni mchovu ila at a kusuprise ..

Lecister hawezi rudia the same mistake ,Leo utaona moto wake ...

Walimpiga man utd goli 3 fa ,sishangai Leo man utd akipoteza ..
 
Kubishana na MTU wa nyumbu ni matumiza mabaya ya akili ...

Mimi nakaa meza moja na buyern ,PSG ,Madrid ,..

Wewe takataka endelea kupambana na Roma ,Genk ,Salzburg,...

Unaenda kuchaza final ,haina hata mvuto et villarial[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Final ya hovyo kabisa ambayo haijawahi tokea dunian ,..

Nahisi viingilio itakuwa bure ...

Siwezi poteza muda Mimi kuangalia nyumbu zikiwa zinacheza na kenge ...

Yaan vilaza kwa vilaza wanacheza ....

Mkuu naona Chelsea hutaki kumtaja kabisa. Nahisi ukimwona au kumtaja unatetemeka adi miguu na vidole[emoji23][emoji23]

Mpe man u heshima zake bado ni kaka yako ujue🤪🤪
 
Wewe ni Chelsea,[emoji23][emoji23][emoji23]
unatetea nafasi yako kusubili man u ...

Pambana shinda mechi zako ...!

Mim naamin ,arsenal ni mchovu ila at a kusuprise ..

Lecister hawezi rudia the same mistake ,Leo utaona moto wake ...

Walimpiga man utd goli 3 fa ,sishangai Leo man utd akipoteza ..

Mkuu mimi napambana kivyangu na ndiyo maana juzi nilikupa mbili za uso uwanjani kwako Etihad.[emoji23][emoji23]

Arsenal nawajua vizuri huwa wananiabisha lakini naamini kesho haitakuwa rahisi kwao kupenya mbele ya Tuchel. Naimani na tuchel kashafanya yake
 
Sisi kufungwa na chealse Mara mbili mfululizo hio ni mbinu ya kumkabili chelsea may 29 ....

Yaani moto utakao washwa CL final sio wa kitoto kabisa ...

Mnakumbuka kile kipind ,tulipumzik kama wiki moja ,kisa covid ...

Then game iliyofuata ikawa

Chelsea vs man city , EPL

1H tulikuwa tumeshawapiga goli 3 -0 ....

Mpaka klop akaanza kulialia ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Final game tunaiua mapema sana ,before HT mtakuwa mshakula goli za kutosha ...
 
Back
Top Bottom