The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hayo mabomu yenu nani asiyo yajua? Eti alitaka kufugwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Pep aliamua kufungwa game hio ,ndio maana akaweka wababishaji kina sterling ..

Hio ni mind game ,kuwavimbisha nyie ili mtudharau ,huku tumeficha mabomu ya nyukria nyuma ,...

Mkija final mtakula kipigo cha mbwa koko nyie ....

Come on cityzen
 
We jamaa huwa unaropoka kama unasokomezwa ukuni, eti kufugwa mara mbili ni mbinu. We NGURUWE ndio maana nakwambia huna akili kabisa, kwahiyo pep alipeleka kikosi chake akiwa anajua atafungwa ama aliwambia wachezaji wake wafugwe? We akili huwa na je, mge shida hizo game mbili ungekuwa unasema hivi? NGURUWE PORI ww
Mwenzio anajaza pumba coment humu ndio lengo lake maana uzi umedoda huu....
 
Hayo mabomu yenu nani asiyo yajua? Eti alitaka kufugwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Chelsea timu ndogo sana ,inayocheza kwa morali .

Kuhusu ufundi ,ubunifu ,technique ,kuamua game hakuna wachezaji wazoefu ...

Mbaya zaidi wanategemea Werner ,mount,kuwapa EPL next season
 
Kujibizana na ww ni kupoteza mda
Chelsea timu ndogo sana ,inayocheza kwa morali .

Kuhusu ufundi ,ubunifu ,technique ,kuamua game hakuna wachezaji wazoefu ...

Mbaya zaidi wanategemea Werner ,mount,kuwapa EPL next season
 
.EPL
Carabao

CL loading ...
mancitykenya-20210511-0001.jpg
 
Sitasahua tulivoanza league aisee ..

Tulitembezewa kichapo na lecister city goli 5 ,nikajua habari yetu imekwisha huku

Liverpool
Spurs
Everton
Chelsea wakiwa wanapewa nafasi kubwa ya kuchukua EPL ....

Binafsi RUBEN DIAS ndio katupa EPL ..

mancity-20210511-0003.jpg
 
Back
Top Bottom