Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chelsea tupo nyie ni wake zetuMwakan bado sijaona wakutusumbua kuchukua ligi
Sisi kufungwa na chealse Mara mbili mfululizo hio ni mbinu ya kumkabili chelsea may 29 ....
Yaani moto utakao washwa CL final sio wa kitoto kabisa ...
Mnakumbuka kile kipind ,tulipumzik kama wiki moja ,kisa covid ...
Then game iliyofuata ikawa
Chelsea vs man city , EPL
1H tulikuwa tumeshawapiga goli 3 -0 ....
Mpaka klop akaanza kulialia ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Final game tunaiua mapema sana ,before HT mtakuwa mshakula goli za kutosha ...
Atawafanya kitu mbaya ,mahrez come on View attachment 1780909
Lecister city huwezi kumfunga mara mbili mfululizo ..
Never ever ...!
Unajua maana ya mfululizo mkuu,..Mbona man City tulimfunga mara mbili mfululizo?[emoji23][emoji23]
Atajua mwenyewe na mbio zake za top four
Lecister city huwezi kumfunga mara mbili mfululizo ..
Never ever ...!
hahahaaaa mwanang una akil pep anasubir..!!Gundogun ---- Rodrigo ------Bernardo Silva
Foden --------KDB----------mahrez
Hao watu ndio wanafanyaga pressing ya kutosha city ,ukiona uwanjan unainama ujue kuna hao viungo ,wanashambulia wanarudi nyuma ,wanayengeneza nafasi ...
Ukiona hawa
Frenandihno ----Rodrigo ---Torres
Jesus ------aguero -----sterling
Hawa wanatumja long ball ,hawanauwezo wa pressing ,MTU kama aguero anasibili atelezeshewe mpira ndio afunge ...
Ndio maana hata lile goli la kwanza dhid ya Chelsea ,na pelnalt ilikuwa long ball effect ,na sio pressing hadi kwenye goli LA Chelsea ...
Tatizo LA kufungwa Mara mbili mfululizo na Chelsea ni rotation hakuna kingine ...
Game ya FA ,tulitoka kumfunga Dortmund uefa ,pep akapumzisha key player waliocheza uefa ,ukiona kilichotokea ...
Game EPL pep karudia Yale yle tena waliocheza PSG wamekaa bench maksud ,bila kujali tunaenda kupoteza game ...
Naamani bado tunanafasi kubwa tu UCL ,hao chelsea waendelee kutembelea historia za 2012 wakati sisi tupo 2021 ...
Kama drogba ataingia na kufunga dakika za mwisho sawa ,...
tusubir final mzee..!!Mkuu huo ndio ukweli ,Chelsea ni timu inacheza kwa morali tu ,takwimu hazidanganyi ,tukiweka hapa uwezo na ubunifu wa wachezaji uwanjan ,utaona namna gani city ni timu kubwa tu ..
Hao Chelsea wanasubili bahati ,kama ilivokawaida ya football kutusuprise ,ila mengine yote hakuan wanalotushinda ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio tushaweka epl kabatini namna hio
Umemshindwa arsenal utamuweza bingwa wewe..!Sio mkitoka salama kwa Chelsea