Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Sina muda na hio takataka Mimi ..We dogo kweli kiazi pia hujui last time United kabeba uefa eti miaka ya tisini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira umeujua kupitia game za play station huko PS[emoji23][emoji23][emoji23]plus betting [emoji23][emoji23]
Hili kombe liandikwe Chelsea mapema
football club inajengwa na mizizi kama historia hata hiyo man shit yako sahiv inatfuta historia sasa ww dogo nimekwambia umeanza ushabiki kupitia betting na magem ya PS unakaza kichwa [emoji23][emoji23][emoji23]2014 ww ..aibu kweli umekazana kudandia majukwaa ya man utd liva asanane kumbe mpira umeujua 2014Pitaa kishoto kijana ...
Tupo tunashona suti za EPL na CL ..
Wewe endelea kutembea na historia..
Jidanganye hivyo hivyo dogo ukizungumzia Manchester kila mtu anajua unadhungumzia United haitakaa itokee City iwe juu ya united mpaka kiama ..even pundits au watangazaji mashabik wote hata hao waliopo city huko wakisema Manchester basi basi United na nyie Ni man city [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] tatizo mpira umeujua 2014Sina muda na hio takataka Mimi ..
Kwan man utd kitu gan ,??
Mimi najua kuna Manchester moja tu city ..
Hayo mengine ni nyumbu tuu
Tayari tumeshamtoa kwa kukufunga wewe.Kama wewe ulimuweka hapo ,utamtoa ..!
Endelea kuteseka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na uefa Kuna kila dalili yakuikosa nyie viazi Pepo gadialo amuwez tuchel
Nyie chelsea hio nafasi ya tatu sio yenu ...Tayari tumeshamtoa kwa kukufunga wewe.
Tuko nafasi ya tatu na Leo anapigwa tena na Utd.... Anazidi kutoka. Liverpool wanakuja hiyo nafasi na West Ham Utd
Sawa mkuu nendeni mkachukue hio CL kama manajua mshachukua ...Chelsea 5 Man City 1
Bao 3 za offside mamaeeeee
Naamin pep sio muoga ..
Angekuwa anaogopa game asingechezesha Mtu kama
Mendy wakati yupo zincheko ambaye kaperfom vizur PSG
Sterling wakat foden yupo
Jesus wakat kdb yupo
Aguero wakat mahrezi yupo
Stefan wakat ederson yupo
Ake wakat walker yupo
Laporte wakat stone yupo
Torres wakat bernedo Silva yupo ...
Kiufupi pep sijui alitaka nini ,kuweka bench watu kama hao then anataka ushindii ...
Any way ngonja tusubili final ...
Hata hivo chelsea haifungiki ni timu kubwa sana hapa dunian ,ilitakiwa kuchukua makombe yote
EPL ,serial A,laliga ,CL hadi VPL ...
Lecister city najua Leo ataucheza mpira mwingi sana ,hawezi kukubali kutoka top 4 dakika za mwisho namna hii ...
United akipoteza tu tayar ubingwa EPL
Come on city
Siku zote ukuta ambao unaleta matokeo city ambao umepiga nje ndaniMkuu ina maana leo Stone kawa mzuri kuliko Laporte?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ilibidi nikubaliane nae tu ,mtu kashasema makombe yote yanatua Stamford bridge na hakuna wa kuzuia ,sisi man city hatuwezi kuzia viungo wa madridi kina casemiro ,ansesio ,kross ,mordic..Mkuu hizi siyo komenti za kisoka.
Soka ni burudani si kejeli wa chuki[emoji23] burudani bila matani haiendi.
Tutumie lugha rafiki, matani n.k ili tupate burudani.
Mfano nikikoment kwako kuwa Leo nawacharaza vitatu oklock wewe unatakiwa kukanusha na kuweka doido na si chuki mkuu.
Wewe ni Chelsea,[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi leo nipo upande wa Man u. Come on Manyumbuus. Leo piga hao leicester goli za kutosha[emoji23][emoji23]
Kubishana na MTU wa nyumbu ni matumiza mabaya ya akili ...
Mimi nakaa meza moja na buyern ,PSG ,Madrid ,..
Wewe takataka endelea kupambana na Roma ,Genk ,Salzburg,...
Unaenda kuchaza final ,haina hata mvuto et villarial[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Final ya hovyo kabisa ambayo haijawahi tokea dunian ,..
Nahisi viingilio itakuwa bure ...
Siwezi poteza muda Mimi kuangalia nyumbu zikiwa zinacheza na kenge ...
Yaan vilaza kwa vilaza wanacheza ....
Wewe ni Chelsea,[emoji23][emoji23][emoji23]
unatetea nafasi yako kusubili man u ...
Pambana shinda mechi zako ...!
Mim naamin ,arsenal ni mchovu ila at a kusuprise ..
Lecister hawezi rudia the same mistake ,Leo utaona moto wake ...
Walimpiga man utd goli 3 fa ,sishangai Leo man utd akipoteza ..
Sisi kufungwa na chealse Mara mbili mfululizo hio ni mbinu ya kumkabili chelsea may 29 ....Mkuu mimi napambana kivyangu na ndiyo maana juzi nilikupa mbili za uso uwanjani kwako Etihad.[emoji23][emoji23]
Arsenal nawajua vizuri huwa wananiabisha lakini naamini kesho haitakuwa rahisi kwao kupenya mbele ya Tuchel. Naimani na tuchel kashafanya yake