The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Watakuja kusema wachezaji wao muhimu hawakwepo kina Marhez, De brune Gudgan na kadhalika
 
Huu utopolo mnacheza ndio mnatarajia mpate ushindi kwa Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi hatuna muda na first eleven ,tunaweka wastafu wa mpira na wanaleta matokeo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Scott ,,,!!
 
Yaani hii man city kwa mpira huu na Newcastle, itakuja pigwa hata goli tano na Chelsea.
Sawa huyu babu yetu Scott alishastaff mpira atakuja kucheza final ...


Kwa taarifa yako hapo hakuna mwenye kucheza CL final na Chelsea ....


Nyie endeleeni kuteseka na FA Leo ...!
 
Kiufupi kwa hii city sioni mbwa yeyote akitugusa hapa england ...

Kikosi b tu kinauhakika na matokeo ,kikosi A kitakuwepo kwa ajili ya kutembeza kipigo kwa timu kama man u ,Liverpool ,spurs ,Chelsea ,hiyo arsenal yeye anaweza kucheza na man city under 23 na wakala kipigo ..



Tunaenda kutawala league ya england sijaona timu ya kumgusa pep tenaaa...


Come on city
 
Sawa huyu babu yetu Scott alishastaff mpira atakuja kucheza final ...


Kwa taarifa yako hapo hakuna mwenye kucheza CL final na Chelsea ....


Nyie endeleeni kuteseka na FA Leo ...!

Gudogan, Rodri Hernandes, Walker, Bernado Silver, Jesus, Starling hawatacheza kwasababu ni kikosi B. Basi ngoja tuwasubiri kina De brune waje
 
Chelsea hamna uwezo wa kufanyiwa hivi ,sisi wanaume ,matasubili sanaaa...View attachment 1785281

Mkuu mbona unaiwaza sana chelsea[emoji23][emoji23]

Sasa hapo Chelsea anaingiaje[emoji23][emoji23]

Au kwasababu siku ile alikuaibisha ndo maana? Tulia mkuu. Sisi hatuna desturi ya kumpigia mwanaume mwenzutu makofi🤪🤪🤪
 
Mkuu mbona unaiwaza sana chelsea[emoji23][emoji23]

Sasa hapo Chelsea anaingiaje[emoji23][emoji23]

Au kwasababu siku ile alikuaibisha ndo maana? Tulia mkuu. Sisi hatuna desturi ya kumpigia mwanaume mwenzutu makofi[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muda utafika mtapiga hadi magoti ,sio makofi tu
 
Ferran Torres makes a goal or an assist every 115 minutes in the Premier League for Manchester city.

Ferran Torres this season in PL

1267 minutes played
7 goals scored
4 assists provided

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…