Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii timu ni utopolo kabisa hakuna kituNaona Newcastle wanawapelekea moto ni hatari.
Hii timu ni utopolo kabisa hakuna kitu
Rudi tena kuongea kijana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watakuja kusema wachezaji wao muhimu hawakwepo kina Marhez, De brune Gudgan na kadhalika
Sawa huyu babu yetu Scott alishastaff mpira atakuja kucheza final ...Yaani hii man city kwa mpira huu na Newcastle, itakuja pigwa hata goli tano na Chelsea.
Ivi wewe man city akamie nini ubingwa kashabeba? ushawishi kuona fellan torres anacheza game serious?Yaani hii man city kwa mpira huu na Newcastle, itakuja pigwa hata goli tano na Chelsea.
Goal keeper miaka 53 , Eric Garcia dogo Feran kinda wewe Chelsea umefungwa na kijana wa pep ArtetaWatakuja kusema wachezaji wao muhimu hawakwepo kina Marhez, De brune Gudgan na kadhalika
Sawa huyu babu yetu Scott alishastaff mpira atakuja kucheza final ...
Kwa taarifa yako hapo hakuna mwenye kucheza CL final na Chelsea ....
Nyie endeleeni kuteseka na FA Leo ...!
Chelsea hamna uwezo wa kufanyiwa hivi ,sisi wanaume ,matasubili sanaaa...View attachment 1785281
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muda utafika mtapiga hadi magoti ,sio makofi tuMkuu mbona unaiwaza sana chelsea[emoji23][emoji23]
Sasa hapo Chelsea anaingiaje[emoji23][emoji23]
Au kwasababu siku ile alikuaibisha ndo maana? Tulia mkuu. Sisi hatuna desturi ya kumpigia mwanaume mwenzutu makofi[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muda utafika mtapiga hadi magoti ,sio makofi tu
Mnafurahisha sanaWatakuja kusema wachezaji wao muhimu hawakwepo kina Marhez, De brune Gudgan na kadhalika