Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Wewe kenge niniWe huna akili
Ushaujua mwisho wake wewe.Hii timu UCL itaishia kuisoma kwenye magazeti tu.
Ameambiwa atoke nje, amenyoosha mkono kujitetea kuwa alifika fainali UCLBoss anataka kujibu nini hapaView attachment 1859850
Mbinu chafu chafu za Pep zishajulikana kubeba EPL tena msimu huu ajipange sana mutaanza na kasi lakini hii takataka baskeli ya mbao mukifika desemba pumzi zishakata. Mwanaume tunashika kilele tukutane may mwakani kawaida yetu kunyanyua kwapa..Okay ,vip Chelsea mshamsajili haaland?
Vip chiesa ?
Hakuna timu mbovu kama Chelsea kwa sasa EPL ,ni takataka tu
Mnategemea mount ,Werner ,ndio watapanda mlima wa game 38 kuchukua EPL ??????
Man city bado tuko vizuri sanaa
Its new season pimbi weweZile kuni alizo sokomezwa pep mara tatu mfululizo zinaenda kujirudia tena.
Wewe ni boyaaHii timu la kijinga sana, haya watu huko wamefichua uovu wenu.
Chelsea ni timu dhaifu tu inayoshinda kwa bahatiMbinu chafu chafu za Pep zishajulikana kubeba EPL tena msimu huu ajipange sana mutaanza na kasi lakini hii takataka baskeli ya mbao mukifika desemba pumzi zishakata. Mwanaume tunashika kilele tukutane may mwakani kawaida yetu kunyanyua kwapa..
Its new season pimbi wewe
Wewe ni boyaa
Subili season ianze then utarudi huku
Level zako ni arsenal huko ,huwezi kukaa meza moja na ze cityzenHuna akili kenge ww