The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Okay ,vip Chelsea mshamsajili haaland?

Vip chiesa ?

Hakuna timu mbovu kama Chelsea kwa sasa EPL ,ni takataka tu

Mnategemea mount ,Werner ,ndio watapanda mlima wa game 38 kuchukua EPL ??????

Man city bado tuko vizuri sanaa
Mbinu chafu chafu za Pep zishajulikana kubeba EPL tena msimu huu ajipange sana mutaanza na kasi lakini hii takataka baskeli ya mbao mukifika desemba pumzi zishakata. Mwanaume tunashika kilele tukutane may mwakani kawaida yetu kunyanyua kwapa..
 
Zile kuni alizo sokomezwa pep mara tatu mfululizo zinaenda kujirudia tena.
 
Back on the pitch
mancity_mcfc-20210801-0001.jpg
 
Mbinu chafu chafu za Pep zishajulikana kubeba EPL tena msimu huu ajipange sana mutaanza na kasi lakini hii takataka baskeli ya mbao mukifika desemba pumzi zishakata. Mwanaume tunashika kilele tukutane may mwakani kawaida yetu kunyanyua kwapa..
Chelsea ni timu dhaifu tu inayoshinda kwa bahati
 
Back
Top Bottom