Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Ww jamaa inabidi upimwe mkojo, ucl ulisema sio kipaumbele chenu huku pia kelele nyingi 😂😂Hawa madogo wa academy
Palmer
Znight
Ndio wamecheza na full mkoko wa lecister city ...
Mick mouse cup kama hizi hazituumiz sana
Jack alitakiwa akaribishwe kwa kikombe ila ...
Let's go next game EPL ..spurs
Note : hili sahani tumechukua sana mkuu ...Ww jamaa inabidi upimwe mkojo, ucl ulisema sio kipaumbele chenu huku pia kelele nyingi [emoji23][emoji23]
Vp kikosi kilichocheza ucl.?Pep kazalau game ..
Kaweka kikosi dhaifu sana ,kile kikosi sio cha ushindi kabisa ,kwa tulio angalia mpira no doubts..
Ake + stone ,hii combination ilishakataa toka kitambo ,ake kafanya open mistake ,najua hata yeye anajua alilofanya ..
Madogo wa academy kuwaleta kwenye final sijui pep aliwaza nini ,any way najua anatengeneza foden wengine lakin hii game haikutakiwa kufanya hivyo ...
Kama grealish alikuwa fit basi angeanza mapema kabisa ,Bernardo ,Rodrigo ,grealish sikuona sababu ya kukaa bench,kipindi cha kwanza tu tungetengeneza nafasi nyingi na kumaliza ...
Siku zote ukiwa vitan unaanza kutumia silaha ndogo ,huku mabomu ya nyukilia ukiwa umeyaficha kuaangalia upepo wa vita ukoje,ili ukija kulipua kila mtu chaliii ...pep techniques
KnightHawa madogo wa academy
Palmer
Znight
Ndio wamecheza na full mkoko wa lecister city ...
Mick mouse cup kama hizi hazituumiz sana
Jack alitakiwa akaribishwe kwa kikombe ila ...
Let's go next game EPL ..spurs
Nabado wamepakuliwa.Mia ndani ya uwanja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa BossKaeni mkijua
" only wide and deep squad win EPL "
We have deep squad
We are attacking the title
Tatizo uwezo. VIP ungechukua hilo kombe ungesema ni mick Mouses cup ?Hawa madogo wa academy
Palmer
Knight
Edozie
Ndio wamecheza na full mkoko wa lecister city ...
Mick mouse cup kama hizi hazituumiz sana
Jack alitakiwa akaribishwe kwa kikombe ila ...
Let's go next game EPL ..spurs