The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kaeni mkijua

" only wide and deep squad win EPL "

We have deep squad

We are attacking the title
 
Hawa madogo wa academy
Palmer
Znight
Ndio wamecheza na full mkoko wa lecister city ...

Mick mouse cup kama hizi hazituumiz sana

Jack alitakiwa akaribishwe kwa kikombe ila ...

Let's go next game EPL ..spurs
Ww jamaa inabidi upimwe mkojo, ucl ulisema sio kipaumbele chenu huku pia kelele nyingi 😂😂
 
Pep kazalau game ..

Kaweka kikosi dhaifu sana ,kile kikosi sio cha ushindi kabisa ,kwa tulio angalia mpira no doubts..

Ake + stone ,hii combination ilishakataa toka kitambo ,ake kafanya open mistake ,najua hata yeye anajua alilofanya ..

Madogo wa academy kuwaleta kwenye final sijui pep aliwaza nini ,any way najua anatengeneza foden wengine lakin hii game haikutakiwa kufanya hivyo ...

Kama grealish alikuwa fit basi angeanza mapema kabisa ,Bernardo ,Rodrigo ,grealish sikuona sababu ya kukaa bench,kipindi cha kwanza tu tungetengeneza nafasi nyingi na kumaliza ...

Siku zote ukiwa vitan unaanza kutumia silaha ndogo ,huku mabomu ya nyukilia ukiwa umeyaficha kuaangalia upepo wa vita ukoje,ili ukija kulipua kila mtu chaliii ...pep techniques
 
Ww jamaa inabidi upimwe mkojo, ucl ulisema sio kipaumbele chenu huku pia kelele nyingi [emoji23][emoji23]
Note : hili sahani tumechukua sana mkuu ...

Tumepoteza ndio but sio kitu cha masiktiko sana ,hata pep hakupanga kikosi cha ushindi
 
tim ya kifala imeuanza ufala wake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pep kazalau game ..

Kaweka kikosi dhaifu sana ,kile kikosi sio cha ushindi kabisa ,kwa tulio angalia mpira no doubts..

Ake + stone ,hii combination ilishakataa toka kitambo ,ake kafanya open mistake ,najua hata yeye anajua alilofanya ..

Madogo wa academy kuwaleta kwenye final sijui pep aliwaza nini ,any way najua anatengeneza foden wengine lakin hii game haikutakiwa kufanya hivyo ...

Kama grealish alikuwa fit basi angeanza mapema kabisa ,Bernardo ,Rodrigo ,grealish sikuona sababu ya kukaa bench,kipindi cha kwanza tu tungetengeneza nafasi nyingi na kumaliza ...

Siku zote ukiwa vitan unaanza kutumia silaha ndogo ,huku mabomu ya nyukilia ukiwa umeyaficha kuaangalia upepo wa vita ukoje,ili ukija kulipua kila mtu chaliii ...pep techniques
Vp kikosi kilichocheza ucl.?
 
Hawa madogo wa academy
Palmer
Znight
Ndio wamecheza na full mkoko wa lecister city ...

Mick mouse cup kama hizi hazituumiz sana

Jack alitakiwa akaribishwe kwa kikombe ila ...

Let's go next game EPL ..spurs
Knight
 
Binafsi nimeyapokea matokeo haya kwa mikono miwili ili kwa game ya Tot. Pep asibweteke na kuweka hawa makinda wake nachokiona moto unaanza kuwaka rasmi tarehe 15. Saa 18:30 hapo ndipo mtafahamu nani mvulana nani mwanaume .

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
.
postmcfc-20210810-0001.jpg
 
Ndgu zang nahtaji nipate group la Whatsap la manchester city
mwenye nalo 0772558813 niungeni
 
Hawa madogo wa academy
Palmer
Knight
Edozie
Ndio wamecheza na full mkoko wa lecister city ...

Mick mouse cup kama hizi hazituumiz sana

Jack alitakiwa akaribishwe kwa kikombe ila ...

Let's go next game EPL ..spurs
Tatizo uwezo. VIP ungechukua hilo kombe ungesema ni mick Mouses cup ?

Mkuu unateseka sana
 
Back
Top Bottom