Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Kwenye jukwaa la arsenal ulifata nini kama kufungwa ni kawaida?Nasema hivi ," tusitishweee sisi " ....
We play good football,kufungwa kwenye game ni kawaida
Hata kama ana CL 10 ...Sasa huoni Ajax ameshapiga hatua moja mbele kuliko PSG, man Shityee ..yani kwenye kabati la Ajax kuna kombe la uefa wakati kabati la PSG, Man Shityee hamuna..
Hivyo Ajax ni timu kubwa yenye uzoefu wa kutosha.
Nyie bado mpo level za Akina Everton
Nyie ni matakataka tu itabidi tuendelee kuwabandua hadi akili iwakae sawa.Hata kama ana CL 10 ...
PSG huwezi linganisha na ajax ,tatizo umekaza ubongo na kalio hilo
kocha wa ufalani
Ze cityzen hatunaga mbwembwe za kukaa top of the table ,kwan tukikaa pale huwa tunahakikisha mpaka may ,EPL imetua etihad ...
Kwa sasa wacha hao man utd ,Chelsea ,Liverpool ,sijui spurs ,lecister city wapeane zamu ya kukaa pale juu ,huku wakisafisha kiti wanaume tukikaa pale basii garii linazimikia may ....
Kwa sasa pep anahakikisha anapata striker ..
Here we goo
Endeleeni kujipa moyoo tu,hapo juu mnapeana zamu,huku mkisafisha kiti cha ze cityzen kuchukua ubingwa ...We huna akili, panzi ww
Endeleeni kujipa moyoo tu,hapo juu manapeana zama ,huku mkisafisha kiti cha ze cityzen kuchukua ubingwa ...
Wazee wa fantasy Premier league link ya ligue ya Head to Head hiyo hapo Twende kazi...
Fantasy Premier League, Official Fantasy Football Game of the Premier League
Official Fantasy Premier League 2024/25. Free to play fantasy football game, set up your fantasy football team at the Official Premier League site.fantasy.premierleague.com
Sometimes unawaaibisha wenzako, ipo siku watakukataa humuZe cityzen hatunaga mbwembwe za kukaa top of the table ,kwan tukikaa pale huwa tunahakikisha mpaka may ,EPL imetua etihad ...
Kwa sasa wacha hao man utd ,Chelsea ,Liverpool ,sijui spurs ,lecister city wapeane zamu ya kukaa pale juu ,huku wakisafisha kiti wanaume tukikaa pale basii garii linazimikia may ....
Kwa sasa pep anahakikisha anapata striker ..
Here we goo