The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hilo goli lenyewe ni mpira umempiga tu kabahatisha huyu takataka tumepigwa aise hapa tusitegemee uefa wala super cup.
Tutamuona Leo huyo lukaku kama atafunga hata goli la hivo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arsenal ni timu mbovu ila ikikutana na Chelsea huwa inabomoa daraja la Stamford bridge....
 

 
Hii noma tunawaangushia nyie matakataka kwa sasa tuko pamoja na marehemu arse8 tuna hakika atafufukia kwenu nyie mbuzi huu msimu ubingwa sahauni hata qarabao hamtolamba hakika..

CFC
 
Wazee wa EPL mpo
Nyie wenzangu mnapata sana taabu,Anfield isiyo na majeruhi hamuiwezi
Tumeisha kimbia na kombe
Nani sasa hapa hayaogopi Majogoo?
 
Wazee wa EPL mpo
Nyie wenzangu mnapata sana taabu,Anfield isiyo na majeruhi hamuiwezi
Tumeisha kimbia na kombe
Nani sasa hapa hayaogopi Majogoo?
Huwezi kuchukua EPL kwa kikosi chepesi kama hicho ,...

Subili uefa ,fa ,carbao +EPL ,zianze kuunguluma ,yaan match iwe jumatano na jumamos ,ndio utajua nini maana ya kikosi kipana ....

Liverpool ni moto wa mabua tu ,January mnakuwaga mmetepeta hatariii ...
 
[emoji599] BREAKING:

Manchester City are ‘really pushing’ to sign Cristiano Ronaldo this summer. (Fabrizio Romano via Twitch) [emoji102]

 
Group letu limekaaa kibabe aisee ....

Wameamua kutuletea PSG tena ,kudadekiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…