We go again ...
Man City vs wolves ....
Wolves wako vizur kweli kweli ,nimeangalia game ya Liverpool ,liverpool kapata tabu Sana kuwafunga ....
Traore amekuwa akitusumbua Sana ,counter attack ,na mikimbio yake ni hatari aisee....
Hapa Laporte hamuwezi ...stone na dias wanatakiwa kuanza wapo solid Sana pale nyuma hasa kwa mtu mwenye mikimbio mikali Kama traore .....
Harafu game Kama hii huwa tunafugwa kwenye buid up ,pind stone ,dias wanaanzisha mashambulizi nyuma ,kupasiana mpira ,traore yupo na power ,tukiwa tunafanya bulid up nyuma akikunyanganya mpira hatua mbili unamkuta kashafika golin yupo one vs one na ederson[emoji28] huyo traore kusababisha kadi nyekundu ni kitu cha kawaida .....tusipo kuwa Makin kwenye build up nyuma Basi watatufunga kiurahisi kabisa ...but we will fight...
Wolves mfumo wao unajulikana ,watamtumia Sana traore kwenye counter attack ,hapa inatakiwa umakin mkubwa Sana ,kiufupi tusiwape muda wa kuposesse mpira na dias -stone wasipande Sana ......
Hii game tunaenda kushinda am sure hii game tunahitaji point 3 kuliko kitu kingine .....
Kikosi cha leo hapa tunaweza maliza game mapema
Edrerson
Walker -------dias -----stone-----cancelo
Gundogan----rodrigo-----bernado
Mahrez-------KDB------foden
Sub
Jesusu
Sterling
Fernandihno
Zinchenko
We go ........!!