The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mzee wa tactics #MrPEP....mtu anacheza na dynamic back 3 lakini anakimbiza league.

e85fff06-ac2f-46a1-8b91-cf753a13c6bb.jpg
 
Mzee wa tactics #MrPEP....mtu anacheza na dynamic back 3 lakini anakimbiza league.

View attachment 2040265
Mkuu timu yetu ikiwa na mpira inabadilika kabisa ,ndio maana opponent asipokuwa Makin anajikuta tunachezea kwenye box lake ....

Pep anaweza chezesha false 9 ....

Pep anaweza chezesha namba 10 wawili huku mfumo kwenye karatasi ni 4-3-3
 
We go again ...

Man City vs wolves ....

Wolves wako vizur kweli kweli ,nimeangalia game ya Liverpool ,liverpool kapata tabu Sana kuwafunga ....

Traore amekuwa akitusumbua Sana ,counter attack ,na mikimbio yake ni hatari aisee....

Hapa Laporte hamuwezi ...stone na dias wanatakiwa kuanza wapo solid Sana pale nyuma hasa kwa mtu mwenye mikimbio mikali Kama traore .....

Harafu game Kama hii huwa tunafugwa kwenye buid up ,pind stone ,dias wanaanzisha mashambulizi nyuma ,kupasiana mpira ,traore yupo na power ,tukiwa tunafanya bulid up nyuma akikunyanganya mpira hatua mbili unamkuta kashafika golin yupo one vs one na ederson[emoji28] huyo traore kusababisha kadi nyekundu ni kitu cha kawaida .....tusipo kuwa Makin kwenye build up nyuma Basi watatufunga kiurahisi kabisa ...but we will fight...

Wolves mfumo wao unajulikana ,watamtumia Sana traore kwenye counter attack ,hapa inatakiwa umakin mkubwa Sana ,kiufupi tusiwape muda wa kuposesse mpira na dias -stone wasipande Sana ......

Hii game tunaenda kushinda am sure hii game tunahitaji point 3 kuliko kitu kingine .....

Kikosi cha leo hapa tunaweza maliza game mapema

Edrerson

Walker -------dias -----stone-----cancelo

Gundogan----rodrigo-----bernado

Mahrez-------KDB------foden

Sub
Jesusu
Sterling
Fernandihno
Zinchenko

We go ........!!
 
Mkuu timu yetu ikiwa na mpira inabadilika kabisa ,ndio maana opponent asipokuwa Makin anajikuta tunachezea kwenye box lake ....

Pep anaweza chezesha false 9 ....

Pep anaweza chezesha namba 10 wawili huku mfumo kwenye karatasi ni 4-3-3

pamoja kiongoz...ngoja nimalzie game ya wolve, naona leo amempumzisha walker sub bana.💪💪💪....#TheCityIsOurs
0_City-is-ours-3.png
 
sawa lakini ILE SIO PENALTY.
sasa tukuamini wewe au VAR?....Naona fans wa chelsea na liver wamefurika page ya PREMIER LEAGUE INSTA wanalalamika lakini var si ilithibitisha ndo tuta likawekwa au si hivyo?
 
sasa tukuamini wewe au VAR?....Naona fans wa chelsea na liver wamefurika page ya PREMIER LEAGUE INSTA wanalalamika lakini var si ilithibitisha ndo tuta likawekwa au si hivyo?
Yaani wewe mwenyewe unajificha nyuma ya VAR ila ndani ya moyo wako unajua ile sio PENALTY. au VAR ndio ilishika ule mpira?
 
Back
Top Bottom