Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu timu yetu ikiwa na mpira inabadilika kabisa ,ndio maana opponent asipokuwa Makin anajikuta tunachezea kwenye box lake ....Mzee wa tactics #MrPEP....mtu anacheza na dynamic back 3 lakini anakimbiza league.
View attachment 2040265
Njoo uone leo tunavoitesa wolves ...Timu la ki fala sana hili
Mkuu timu yetu ikiwa na mpira inabadilika kabisa ,ndio maana opponent asipokuwa Makin anajikuta tunachezea kwenye box lake ....
Pep anaweza chezesha false 9 ....
Pep anaweza chezesha namba 10 wawili huku mfumo kwenye karatasi ni 4-3-3
Mhhh!...Sema wale wolve wagumu mkuu, na wanawakazia sana wakubwa, nakumbuka ata Liver alipata tabu kwa wale jamaa.WELL. THAT WAS NOT A PENALTY.
sawa lakini ILE SIO PENALTY.Mhhh!...Sema wale wolve wagumu mkuu, na wanawakazia sana wakubwa, nakumbuka ata Liver alipata tabu kwa wale jamaa.
Kama sio penalty unazidi referee , assistant +var mpaka kuamua penalty ???sawa lakini ILE SIO PENALTY.
Nimesema ile sio Penalty sasa unataka kubishana na mimi?Kama sio penalty unazidi referee , assistant +var mpaka kuamua penalty ???
Au unataka kusemaje
sasa tukuamini wewe au VAR?....Naona fans wa chelsea na liver wamefurika page ya PREMIER LEAGUE INSTA wanalalamika lakini var si ilithibitisha ndo tuta likawekwa au si hivyo?sawa lakini ILE SIO PENALTY.
Yaani wewe mwenyewe unajificha nyuma ya VAR ila ndani ya moyo wako unajua ile sio PENALTY. au VAR ndio ilishika ule mpira?sasa tukuamini wewe au VAR?....Naona fans wa chelsea na liver wamefurika page ya PREMIER LEAGUE INSTA wanalalamika lakini var si ilithibitisha ndo tuta likawekwa au si hivyo?
na hicho ndo kinachowaumiza fans wao maana walitegemea city atoe ata draw ili wakikamilisha match zao wamkute kama sio kumpita kabisa.Sasa pressure kwa Liverpool na Chelsea