The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo lecister city lazima atuachie point 3
guaranteed, as a premier league called it "CONTENDER FOR A GAME OF THE SEASON"

99f1a769-12b4-4228-98d0-f10b6caa7d4a.jpg
 
Kweli lakini age inaniogopesha, Rodrigo akiwepo timu inatulia
Ulikuw sahiha na uwezo wa fernandinho kukata umeme umepungua pale kati maana angekuwa rodri dimbani angezima kabisa ile mianya ya kina madson ila sio mbaya point tatu mfukon kwa city na kengine ni kuwa leicester huwa wanatukazia wakija etihad refer ile 1-5 msimu uliopita!
 
ilikuwa 5-2 mkuu
 
City oye, oyee....
Hapa city kila siku sherehe kama ni msosi ni jambo la kubadili mboga tu kwamba leo biriani kuku...kesho biriani mbuzi, chini ya udhamini mnene wa PEP HIMSELF!...mkuu najua ili tiktaka la etihad unakumbukia barca yako those days!

2686995_IMG_20210208_135748_237.jpg
 
Hapa city kila siku sherehe kama ni msosi ni jambo la kubadili mboga tu kwamba leo biriani kuku...kesho biriani mbuzi, chini ya udhamini mnene wa PEP HIMSELF!...mkuu najua ili tiktaka la etihad unakumbukia barca yako those days!

View attachment 2058880
Hahhaaaaaaa

Mido yetu ilipwaya kipindi cha pili aisee , Laporte katurudisha mchezoni ....

Sijajua kwanini tulianza kurelax dakika za mwanzo kipind cha pili ,back pass zilikiwa nyingi Sana.....

Next ni Brentford ,hawa wanashambulia kama nyuki na Wanapaki bus Sana ,but hii game naona tukishinda mapema tu
 
Ulikuw sahiha na uwezo wa fernandinho kukata umeme umepungua pale kati maana angekuwa rodri dimbani angezima kabisa ile mianya ya kina madson ila sio mbaya point tatu mfukon kwa city na kengine ni kuwa leicester huwa wanatukazia wakija etihad refer ile 1-5 msimu uliopita!
Ni kweli wanatukazia, Ila Rodrigo anaipa utulivu sana timu, yeye ndo ana control temper ya game, uwezi kuona tunashambuliwa kupitia katikati kama Jana. Sita kwa tatu ni ushindi mkubwa sana,tuangalie game inayofuata
 
Ferran kashatua Barcelona ,hizi £62m inatakiwa tumtafute halland popote alipo tumpate ....
IMG-20211227-WA0018.jpg
 
Ferran kashatua Barcelona ,hizi £62m inatakiwa tumtafute halland popote alipo tumpate ....View attachment 2059396
Huyu kijana angejituma vyema angeweza kuziba pengo la sane tena kipindi yeye anasajiliwa foden alikuw hana makali kama aliyonayo sahivi maana huyu dogo ni natural winger ila ikamlazimu pep amchezeshe kama striker maan hawez kumnyanganya shavu foden au mahrez, kwa nafasi hiyo nayo ikawa ngumu maan majeruhi yalimwandam sana na ata baada ya kurudi kwa city ya sasa kaangalia mwenyewe akaona hatotoboa...NAMTAKIA MAFANIKIO MEMA HUKO BARCA.

Kuhusu suala la halland itabidi board ya city ipasuke kuongezea kidogo iyo value ila sio kwa hiyo pesa wanayotoa barca maana wamekubaliana na barca mamewaomba city watalipa kwa awamu 4 na sio kwa mkupuo....BARCA IMECHOKA SANA KIFEDHA HADI UWANJANI,

Kijana alikuwa anafurahi na wadogo zake kwenye hii christmass at home.
c9a33e0b-8686-494f-9910-7af3389f9b3e.jpg
 
View attachment 2059452
Ferran tulimchukua kwa £20.9m kumuuzia hio Bei ni faida ...

Pep anamkubali Sana Kane ,sijajua kuhusu halland kwa upande wake inakuaje ,ila Kuna sehemu niliona mansour anamtaka halland ...

Ngonja tuone hii January itakuaje ,kucheza bila natural striker kwenye uefa sijajua itatufikisha wapi hapo pep anajiamini kwenye tactics bila striker ...
 
Ferran tulimchukua kwa £20.9m kumuuzia hio Bei ni faida ...

Pep anamkubali Sana Kane ,sijajua kuhusu halland kwa upande wake inakuaje ,ila Kuna sehemu niliona mansour anamtaka halland ...

Ngonja tuone hii January itakuaje ,kucheza bila natural striker kwenye uefa sijajua itatufikisha wapi hapo pep anajiamini kwenye tactics bila striker ...​
ni kweli apo city wametengeneza faida nzuri tu, "ATA MIE BINAFSI NAMTAKA HALLAND" huyu jamaa ni hazina kuanzia anavyojituma uwanjani na umri wake unamruhusu kuichezea city kwa muda mrefu kama alivyochukuliwa aguero then he gone 10yrs of top striker at city, na huyo dogo ni typical no.9 hachezi namba nyengine na ukiangalia city hatuna tatizo kwenye position nyingine isipokuwa tunahitaji mtu ambaye katika chance mbili apate atleast 1goal maana sahivi tunashinda match ila kuna nafasi nyingi tu zinapotea bila matunda na halland ndiye mtu sahihi wa kazi hiyo!​
 
Iheanacho alitaka kutuoneaha kitu jana ili tujutie kumuuza.
Daaaa zile goli tatu zilikuwa zimetutoa mwenye reli kabisa . .... Laporte asingeturudisha kwenye mchezo basi pressure ingekuwa kubwa na tungepata draw ..!
 
Kibaya 'Nacho kahusika kwenye goli zote 3. Mwenyewe nilishaanza kushtuka. Yaani jamaa wakikamata mpira walikuwa wanachomoka ghafla mara hao wamefika golini...
 
Back
Top Bottom